Leo Ally Salimu ataigharimu Simba pakubwa

Aibu!! Kumuonea wivu kijana km yule mpambanaji. Ona ss umeukimbia uzi wako
 
Kama kichwa cha habari kinavojieleza mimi sina maneno mengi tukutane mpira ukiisha

Mechi na Yanga sio kipimo na siku ile Simba hakushambuliwa ipasavyo hivo msijipe matumaini kwa huyo kipa

Hamna kitu hapo, bahati tu ilikua upande wake
Haya tueleze hiyo gharama ni sh ngapi?
 
Hivi turejee tena kichwa cha habari hapo juu? Au inatosha
 
Kama kichwa cha habari kinavojieleza mimi sina maneno mengi tukutane mpira ukiisha

Mechi na Yanga sio kipimo na siku ile Simba hakushambuliwa ipasavyo hivo msijipe matumaini kwa huyo kipa

Hamna kitu hapo, bahati tu ilikua upande wake
Mchawi sio mpaka apae na ungo usiku, acha wivu wa kijinga yule dogo mlishindwa kumfunga kwenye dabi mmeanza majungu, acha nongwa usipoangalia utaanza kuruka na ungo usiku soon.

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Kama kichwa cha habari kinavojieleza mimi sina maneno mengi tukutane mpira ukiisha

Mechi na Yanga sio kipimo na siku ile Simba hakushambuliwa ipasavyo hivo msijipe matumaini kwa huyo kipa

Hamna kitu hapo, bahati tu ilikua upande wake
Mapumbu ya mbwa nyeusi..Islamabad wahedi
 
Kama kichwa cha habari kinavojieleza mimi sina maneno mengi tukutane mpira ukiisha

Mechi na Yanga sio kipimo na siku ile Simba hakushambuliwa ipasavyo hivo msijipe matumaini kwa huyo kipa

Hamna kitu hapo, bahati tu ilikua upande wake
IMG-20230422-WA0183.jpg
 
Back
Top Bottom