Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Njoo uedit Uzi wako bado hujachelewa
Haya tueleze hiyo gharama ni sh ngapi?Kama kichwa cha habari kinavojieleza mimi sina maneno mengi tukutane mpira ukiisha
Mechi na Yanga sio kipimo na siku ile Simba hakushambuliwa ipasavyo hivo msijipe matumaini kwa huyo kipa
Hamna kitu hapo, bahati tu ilikua upande wake
Utopolo mnateseka sana dogo ana clean sheet ya 4 nowhakuna hatar yeyte aliookoa shukurun mabek na waarab walkua kweny idd leo
Mchawi sio mpaka apae na ungo usiku, acha wivu wa kijinga yule dogo mlishindwa kumfunga kwenye dabi mmeanza majungu, acha nongwa usipoangalia utaanza kuruka na ungo usiku soon.Kama kichwa cha habari kinavojieleza mimi sina maneno mengi tukutane mpira ukiisha
Mechi na Yanga sio kipimo na siku ile Simba hakushambuliwa ipasavyo hivo msijipe matumaini kwa huyo kipa
Hamna kitu hapo, bahati tu ilikua upande wake
Mapumbu ya mbwa nyeusi..Islamabad wahediKama kichwa cha habari kinavojieleza mimi sina maneno mengi tukutane mpira ukiisha
Mechi na Yanga sio kipimo na siku ile Simba hakushambuliwa ipasavyo hivo msijipe matumaini kwa huyo kipa
Hamna kitu hapo, bahati tu ilikua upande wake
Nimemuacha kiongozi.Mwache period imemjia ghafla
Rivers hawakufunga sijui mtamshukuru nanihakuna hatar yeyte aliookoa shukurun mabek na waarab walkua kweny idd leo
Kama kichwa cha habari kinavojieleza mimi sina maneno mengi tukutane mpira ukiisha
Mechi na Yanga sio kipimo na siku ile Simba hakushambuliwa ipasavyo hivo msijipe matumaini kwa huyo kipa
Hamna kitu hapo, bahati tu ilikua upande wake
Mduanzi tu huyuUkizeeka utakuwa mchawi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwache period imemjia ghafla
Huu ukweli wachawi kutoka utopoloni watauvalia miwani ya mbao.
Mule muleO
On target yapili natabir goli mtaniambia