Leo asubuhi nimeamua kula ugali wa muhogo na dagaa badala ya chai naomba ushauri wenu

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Asubuhi ya leo badala ya kunywa chai na vitumbua nimeamua kula ugali wa muhogo na dagaa.

Naomba mnishauri ikiwa ni vema niendelee na utaratibu huu au niandae utaratibu mwingine mbadala

Asubuhi njema kwenu nyote
 
Attachments

  • 1715319746339.jpg
    1715319746339.jpg
    465.2 KB · Views: 5
Ndio zangu hizo. Siku za kazi asubuhi huwa napiga main dish. Nafanya kazi siku nzima huku nikishjndia maji na soft drinks. Usiku napiga light food nalala. Weekend ndio nakula kama wabongo wengine.
 
Uko sawa mkuu... Maisha ya kibongo ni pasi ndefu, hapa tukutane jioni!
 
Attachments

  • IMG20240310142559.jpg
    IMG20240310142559.jpg
    2.1 MB · Views: 5
Wadau hamjamboni nyote?

Asubuhi ya leo badala ya kunywa chai na vitumbua nimeamua kula ugali wa muhogo na dagaa.

Naomba mnishauri ikiwa ni vema niendelee na utaratibu huu au niandae utaratibu mwingine mbadala

Asubuhi njema kwenu nyote
Kupanga ni kuchagua MKUU, endelea na utaratibu huo kama unaona unakufaa.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Asubuhi ya leo badala ya kunywa chai na vitumbua nimeamua kula ugali wa muhogo na dagaa.

Naomba mnishauri ikiwa ni vema niendelee na utaratibu huu au niandae utaratibu mwingine mbadala

Asubuhi njema kwenu nyote
nimependa mapishi ya Dagaa.umepika kiasilia kabisa na vichwa vyake.Mchuzi wa kutosha .hicho chakula mwilini kinaweza kuwa na faida mara 10 ya chips yai.

Dagaa hilo linaweza pia kwenda na magimbi au ndizi za kuchemsha na maziwa mtindi kama vipi.
 
Mtaani kulikuwa na dada ma ntilie alianzisha utaratibu wa kupika ugali nyama choma asubuhi saa nne hadi tukazoea. Sijui alikuwa anaamka saa ngapi!

Baadaye akaacha, masela wakaendeleza utaratibu wa kujipikia wenyewe.
Unakuta asubuhi watu washapika msosi. Baada ya hapo wanakunywa visungura kwa kwenda mbele.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Asubuhi ya leo badala ya kunywa chai na vitumbua nimeamua kula ugali wa muhogo na dagaa.

Naomba mnishauri ikiwa ni vema niendelee na utaratibu huu au niandae utaratibu mwingine mbadala

Asubuhi njema kwenu nyote
Uzee utakuwa umeshaanza kukunyemelea, maana hizi ndio huwa story zenu.
 
Bora yako umekula mkuu, mm sijaweka kitu kinywani nje hakufai mvua mvua mvua
 
Wadau hamjamboni nyote?

Asubuhi ya leo badala ya kunywa chai na vitumbua nimeamua kula ugali wa muhogo na dagaa.

Naomba mnishauri ikiwa ni vema niendelee na utaratibu huu au niandae utaratibu mwingine mbadala

Asubuhi njema kwenu nyote
ushauri wangu kapost na facebook wenzio watakupa ushauri
 
Lazima usinzie kama sio mazoea yako kula hivo asubuhi
 
Wadau hamjamboni nyote?

Asubuhi ya leo badala ya kunywa chai na vitumbua nimeamua kula ugali wa muhogo na dagaa.

Naomba mnishauri ikiwa ni vema niendelee na utaratibu huu au niandae utaratibu mwingine mbadala

Asubuhi njema kwenu nyote
Umekwisha kula ndio unaomba ushauri ilitokea wapi hiyo!
 
Back
Top Bottom