Leo Atletico Madrid atamfunga Arsenal na kuingia Fainali ya UEFA. Huu sio utabiri, ndivyo itakavyokuwa

Leo Atletico Madrid atamfunga Arsenal na kuingia Fainali ya UEFA. Huu sio utabiri, ndivyo itakavyokuwa

Ngoja washabiki wa hiyo timu wamalize kulia kwa uchungu ndiyo waje kutoa maoni yao.
 
Mechi ya Leo ni kufa na kupona, busta zifunguliwe zote...Kuna timu hapo Kila ukiipigia hesabu, hesabu zake zinakataa kabisa.
 
Back
Top Bottom