Leo Atletico Madrid atamfunga Arsenal na kuingia Fainali ya UEFA. Huu sio utabiri, ndivyo itakavyokuwa

Leo Atletico Madrid atamfunga Arsenal na kuingia Fainali ya UEFA. Huu sio utabiri, ndivyo itakavyokuwa

Habari zenu,

Leo nusu fainali ya Uefa itakuwa ndo mwisho wa safari ya Arsenal kwani Atletico ndie atakayeshinda mechi hii, huu sio utabiri ndivyo inavyokwenda kutokea.
ungeziona nyuzi zangu tangu mwanzo ungejua nini kinakwenda kutokea
Ndugu nisikilize mimi hicho ndo kinaenda kutokea
Tuko pamoja
Baada ya dakka tisini uludi kwenye huu uzi
Samahani mkurugenzi! Mimi siyo shabiki wa Aseno. Nimeguswa tu baada ya kugundua uliwaaminisha mashabiki wa timu husika kwenye huu uzi wako. Hivyo siyo vizuri kuutelekeza. Rudi uwaombe radhi kwa kuleta utabiri feki.
 
Arsenal vs PSG fainali. Wapiga ramli toeni tabiri zenu nani anaenda kuwa bingwa wa UEFA msimu huu
 
Arsenal vs PSG fainali. Wapiga ramli toeni tabiri zenu nani anaenda kuwa bingwa wa UEFA msimu huu
Bingwa atakuwa ni PSG kwa msimu wa pili mfululizo.

They're technically better than Arsenal.
 
Back
Top Bottom