Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,881
- 8,658
Nakinyume chake kinaweza kutokeaHabari zenu,
Leo nusu fainali ya Uefa itakuwa ndo mwisho wa safari ya Arsenal kwani Atletico ndie atakayeshinda mechi hii, huu sio utabiri ndivyo inavyokwenda kutokea.
ungeziona nyuzi zangu tangu mwanzo ungejua nini kinakwenda kutokeaAmka hiyo ndoto feki
Ndugu nisikilize mimi hicho ndo kinaenda kutokeaNakinyume chake kinaweza kutokea
Ni kama ndugu mmoja alivyotamani Man United wafungwe na ile timu ili timu zake alizozoea kwenye top four zirudi vilevile.Hana tofauti kabisa,uongo!?Ona huyu nae.
Naunga mkono hojaHabari zenu,
Leo nusu fainali ya Uefa itakuwa ndo mwisho wa safari ya Arsenal kwani Atletico ndie atakayeshinda mechi hii, huu sio utabiri ndivyo inavyokwenda kutokea.
Baada ya dakka tisini uludi kwenye huu uziOna huyu nae.
Tuko pamojaNaunga mkono hoja
Takbir ⚔️Tawire