my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Leo nilikua sehem fulani asa nilikua nimekaa kwenye kiti wakati nimekaa nikawa naweka kitu kwenye meza iliokua nyuma yangu bila kugeuka kuangalia kwanza 😂
Kumbe karibu na ile meza kulikua na kaka mmoja mfupi si nikamgusa kichwani, acha apige kelele "wee dada kua makini" mi nikamwambia samahani sikukuona. Akanijibu "ukuniona nini kwani mi mtoto" huku mishapa ya shingo na macho yamemtoka 😂😂 nikashindwa kujizuia ikabidi nicheke 😂 Asa kutokumuona na utoto unakujaje jamani 😂
Kucheka ikawa kama nimemzidisha hasira akaanza kunitukana ati anataka kupigana na mimi wakati mtu mwenyewe ananifikia kiunoni 🤦♀️ nikawa namuangalia tu ili ajione bonge la jitu mana watu kama awa wasiokua na confidence ni kuwaacha ili wajijengee confidence 😂
Hivi kwanini watu wafupi hua hamjiamini? Tatizo ni nini?