Leo bado nusu nipigwe na mtu mfupi

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,397
Leo nilikua sehem fulani asa nilikua nimekaa kwenye kiti wakati nimekaa nikawa naweka kitu kwenye meza iliokua nyuma yangu bila kugeuka kuangalia kwanza πŸ˜‚

Kumbe karibu na ile meza kulikua na kaka mmoja mfupi si nikamgusa kichwani, acha apige kelele "wee dada kua makini" mi nikamwambia samahani sikukuona. Akanijibu "ukuniona nini kwani mi mtoto" huku mishapa ya shingo na macho yamemtoka πŸ˜‚πŸ˜‚ nikashindwa kujizuia ikabidi nicheke πŸ˜‚ Asa kutokumuona na utoto unakujaje jamani πŸ˜‚

Kucheka ikawa kama nimemzidisha hasira akaanza kunitukana ati anataka kupigana na mimi wakati mtu mwenyewe ananifikia kiunoni πŸ€¦β€β™€οΈ nikawa namuangalia tu ili ajione bonge la jitu mana watu kama awa wasiokua na confidence ni kuwaacha ili wajijengee confidence πŸ˜‚

Hivi kwanini watu wafupi hua hamjiamini? Tatizo ni nini?
 
We dada acha kudharau watu wenye changamoto za ukuaji wa kimo cha kwenda juu
 
Raha ya kuwa mfupi ni hii hata ukiangusha simu haipasuki kioo.

Nb watu wafupi wanapiga hao.
 
Acha nicheke [emoji3][emoji851][emoji27][emoji24][emoji81][emoji81][emoji81]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…