GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Halafu mwambieni asipoteze muda kuwatafuta Wazee wa Simba SC wamsamehe kwani hiyo 'Pini' ni ya kudumu daima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nimecheka mpaka basi.Atakula alikopeleka mboga
Umenikumbusha william fanbulla kama asinge okolewa na George weah uraia ungemuhusu!Halafu mwambieni asipoteze muda kuwatafuta Wazee wa Simba SC wamsamehe kwani hiyo 'Pini' ni ya kudumu daima.
Jamani haya sio ya kucheka kabisa...
Kwao kuna vita m23 wanakiwasha..
Tanzani timu hazimtaki...
Unaweza wehuka walai
Daah....Mpe hifadhi basi bwana baleke
Watu wengi including wachezaji walikula hela kwny zile hamsa....Wale mashoga wa jangwani wakati wanatuotea mkono huyo baleke alikuwa anacheka cheka kama demu halafu watu tuna majonzi
Aisee kwa hiyo watu walipiga mpunga mrefu.....Watu wengi including wachezaji walikula hela kwny zile hamsa....
Sanaaaa..hahahahsAisee kwa hiyo watu walipiga mpunga mrefu.....
ataipangua kinamna mcongo yuleHalafu mwambieni asipoteze muda kuwatafuta Wazee wa Simba SC wamsamehe kwani hiyo 'Pini' ni ya kudumu daima.
hao sasa hao, GongowaziBaleke aliondoka Simba kwakua simba walishindwa kufikia dau la Tp Mazembe baada ya muda wa mkopo pale Simba kwisha.
Tp Mazembe wana mkataba na Bareke wa miaka 5.
Baleke hakua na tatizo na Simba, Tp Mazembe walipata ofa nono kutoka Libya ambayo ilikua na maslahi mazuri kwa mchezaji na Parent club Tp Mazembe.
Baada ya kufanya vizuri Libya, Yanga waka watafuta Mazembe na kukaanao mezani wakamchukua Baleke kwa mkopo na ulipo malizika hawaku muongeza.
Baleke amegoma ku sain Timu yoyote kwa sasa kwakua muda wake wa kumaliza mkataba na Mazembe umebaki kidogo anataka kuwa huru na kifungo cha mkataba wa Mazembe.
Kwaiyo mashabiki wa Mbumbumbu fc wasisije wakafikiri Baleke ameshindwa kupata timu, niyeye mwenyewe ameamua kuto saini timu yoyote ili amalizie mkataba na Mazembe na kuwa huru na maisha yake.
Swala la kucheza ndondo ni kujiweka sawa kama mchezaji wa kulipwa asije akawa mzito kwa kutocheza kwa muda mrefu.