Leo Baleke ni wa kucheza ndondo Magunia Msasani? Tukana/Kashifu watu wote ila siyo Wazee wa Simba SC kwani huwa hatanii wakikuamulia

Kwakweli nashukuru viongozi kwa kujitambua kwa kuachana na wachezaji wehu kwa sasa timu yetu imetulia hakuna fujo.

Na yule mzambia aliyekua anajifanya anaujua mpira kuliko Messi kiasi cha kutusumbua kuamua anavyotaka aendelee kuteseka huko alipo na asirudishwe kundini.

UBAYA UBWELA 🦁
 
Kama itakuwa kweli anacheza ndondo Mungu amtie nguvu arudi kucheza ligi kuu. Kwangu mimi Baleke bado ni bonge la mshambuliaji kwani alikuwa anafunga magoli magumu sana. Sijui alikumbwa na nini akaingia kwenye siasa za kurwa na doto wa Kariakoo. Matokeo yake hakuna anayemtaka kwa sasa wote wamemsusa. Baleke akiwa fiti na akaamua kucheza hao wakina Mukwala na Musonda hawafiki hata nusu yake.
 
Baleke aliondoka Simba kwakua simba walishindwa kufikia dau la Tp Mazembe baada ya muda wa mkopo pale Simba kwisha.
Tp Mazembe wana mkataba na Bareke wa miaka 5.

Baleke hakua na tatizo na Simba, Tp Mazembe walipata ofa nono kutoka Libya ambayo ilikua na maslahi mazuri kwa mchezaji na Parent club Tp Mazembe.
Baada ya kufanya vizuri Libya, Yanga waka watafuta Mazembe na kukaanao mezani wakamchukua Baleke kwa mkopo na ulipo malizika hawaku muongeza.

Baleke amegoma ku sain Timu yoyote kwa sasa kwakua muda wake wa kumaliza mkataba na Mazembe umebaki kidogo anataka kuwa huru na kifungo cha mkataba wa Mazembe.

Kwaiyo mashabiki wa Mbumbumbu fc wasisije wakafikiri Baleke ameshindwa kupata timu, niyeye mwenyewe ameamua kuto saini timu yoyote ili amalizie mkataba na Mazembe na kuwa huru na maisha yake.

Swala la kucheza ndondo ni kujiweka sawa kama mchezaji wa kulipwa asije akawa mzito kwa kutocheza kwa muda mrefu.
 
hao sasa hao, Gongowazi
 
Back
Top Bottom