Leo Bwana Gamondi " Mizimu yake ya Kitaliano" imepanda Kichwani

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Waitaliano ni moja kati ya watu wenye akili nyingi sana. Ni jamii ya watu wa kale walio staarabika tangu enzi na enzi.

I put them in the same space as the Ancient Egyptians, Ancient Greeks and Ancient Mesopotamia.

( They are the descendants od the citizens of Ancient Rome)

Moja kati ya mambo ambayo wataliano hawayapendi ni kuonewa.

Refa na watu wake leo demonstrate " foul play" .

Ni kama vile wanafuata maelekezo kutoka nje ya pitch. Jambo hili limemgadhabisha mno mtaliano Gamondi.

Wanayanga tumuombee Gamondi amalize game Salama leo.

Kilaza atasema " Gamondi ni Muargentina sio Muitaliano"

Yes ni kweli kabisa Gamondi ana uraia wa Argentina lakini ana asili ya Italia.

Argentina ni Taifa lililo anzishwa na wahamiaji kutoka Italia na Hispania.

Before that walikuwa wanaishi the so called " Native Indians"( Bado wapo wachache)

Argentina = Italia + Spain.

Hata Messi ni Muitaliano kiasili.

Dua zenu wananchi kwa Gamondi.

🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
Ila ni kwa nini Argentina haina watu weusi kama mataifa mengine ya Latin America?
 
Karma is bitch
 
[emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317]
Haya bhana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niliona kama zinapigwa pembeni kule nae kamera man akatuonjesha tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Gamondi alimrushia mtu kichwa jana. Hataki Masikhara kabisa 😀 😀 😀
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
JamiiForums-312072181.jpeg
 
Back
Top Bottom