LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Waitaliano ni moja kati ya watu wenye akili nyingi sana. Ni jamii ya watu wa kale walio staarabika tangu enzi na enzi.
I put them in the same space as the Ancient Egyptians, Ancient Greeks and Ancient Mesopotamia.
( They are the descendants od the citizens of Ancient Rome)
Moja kati ya mambo ambayo wataliano hawayapendi ni kuonewa.
Refa na watu wake leo demonstrate " foul play" .
Ni kama vile wanafuata maelekezo kutoka nje ya pitch. Jambo hili limemgadhabisha mno mtaliano Gamondi.
Wanayanga tumuombee Gamondi amalize game Salama leo.
Kilaza atasema " Gamondi ni Muargentina sio Muitaliano"
Yes ni kweli kabisa Gamondi ana uraia wa Argentina lakini ana asili ya Italia.
Argentina ni Taifa lililo anzishwa na wahamiaji kutoka Italia na Hispania.
Before that walikuwa wanaishi the so called " Native Indians"( Bado wapo wachache)
Argentina = Italia + Spain.
Hata Messi ni Muitaliano kiasili.
Dua zenu wananchi kwa Gamondi.
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻