Leo dada aliyenisajilia laini kanipigia simu

Leo dada aliyenisajilia laini kanipigia simu

Applicant

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2020
Posts
1,962
Reaction score
1,751
Habar zenu wakuu.

Leo nmeshangaa sana, mida ya sa11 jioni nilipokea simu kutoka kwa mwanamke nisiemjua, alijieleza vizuri nikamkumbuka vizuri kua ni alienisajilia lain week moja nyuma.

Tuliongea sana, akaniahidi ipo siku atakuja kwangu kunitembelea, nakumbuka siku ile nilisajili laini na akaniwekea vocha ya 1,000 kwahyo akawa ananidai 2,000

Nikampa 10,000 ili anirudishie 8,000 yangu. Lakini akadai chenchi hana kwakua biashara siku hiyo haikua nzuri, basi nikamwambia asijali hiyo 8,000 anaweza tuu akabaki nayo bila tatizo kwakua namimi nilikua busy nawahi job sikua na mda wa kusubiri akatafute chenchi.

Nqmba yangu anasema aliisave baada ya kunisajilia laini

Hivi na nyie huwaga mnapigiwa simu msalimiwe na wanaowasajilia laini zenu?
 
Kuna mtu watamtoa password muda si mrefu
 
Kama vipi nipe namba yake MA mimi nimtafute anisajilie ya kwangu
 
Unaweza kutaja sababu ya msingi kwanini uliamua kuacha 8K eti kisa tu dada hakuwa na chenji wakati kulikuwa na uwezekano wa chenji hiyo kukuwekea airtime?!
Kuacha tip ni tabia. Unaweza sema hiyo 8.000 ni kama tip ameitoa.

Zamani nilivyokuwa mdogo hata sh 50 nitaisubiria.

Ila siku hizi kuacha tip kumekuwa sehemu yangu ya maisha.
 
Both team to score!!
8000 [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
[emoji120]
 
Unaweza kutaja sababu ya msingi kwanini uliamua kuacha 8K eti kisa tu dada hakuwa na chenji wakati kulikuwa na uwezekano wa chenji hiyo kukuwekea airtime?!
Sikua na shida nayo kwa wakati ule niliona nimuachie tuu
 
Stress za kubeti+Stress za uchaguzi+chupa ndogo ya prince(47 alc)+2 stick(weed)=

nb.dont use mathematical table or foofiga
 
Habar zenu wakuu.

Leo nmeshangaa sana, mida ya sa11 jioni nilipokea simu kutoka kwa mwanamke nisiemjua, alijieleza vzur nikamkumbuka vzur kua ni alienisajilia lain week moja nyuma.

Tuliongea sana, akaniahidi ipo siku atakuja kwangu kunitembelea, nakumbuka siku ile nilisajili laini na akaniwekea vocha ya 1,000 kwahyo akawa ananidai 2,000

Nikampa 10,000 ili anirudishie 8,000 yangu
Lakini akadai chenchi hana kwakua biashara siku hiyo haikua nzuri, basi nikamwambia asijali hiyo 8,000 anaweza tuu akabaki nayo bila tatizo kwakua namimi nilikua busy nawahi job sikua na mda wa kusubiri akatafute chenchi.

Nqmba yangu anasema aliisave baada ya kunisajilia laini

Hivi na nyie huwaga mnapigiwa simu msalimiwe na wanaowasajilia laini zenu??
Buku 8 unaona bonge LA bingo, kuna watu huwa tunawapa tip ya fifty Tzs wanachanganyikiwa mtoto anajikuta anakutafuta akakupe papuchi bure
 
Back
Top Bottom