toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,612
- 4,721
Katika mambo yanayokera,kutia hasira na kutia kinyaa ndo haya
Tanzania asilimia kubwa ya bidhaa tuna-import nje (kununua nje ya nchi) sasa hili swala la dola kupanda dhidi ya shilingi kunazidisha mfumuko wa bei hapa nchini
Hili jambo linapigiwa kelele mno lakini serikali yetu inayojidai ni sikivu hili wamelikalia kimya Bot nao kimya?
Miaka mitatu dola kupanda dhidi ya shilingi kutoka 1500 hadi leo karibia 2300 ni jambo la kutisha sana hii ni fedheha mno na inaonyesha uchumi wa nchi umedorora
Kwa hii hali mtawaweka wapi vijana wengi walojiajiri kwenye kununua bidhaa nje? (Importers)
Mtawaweka wapi wananchi kutokana na mfumuko wa bei?
Kwanini tusiruhusu free exports watu wauze nje free bila makato ili walau shilingi ipate thamani na mfumuko wa bei uondoke na wananchi wafurahie unafuu wa bidhaa kwa bei ya chini?