Leo dola moja ni sawa na 2290. Kweli uchumi unakuwa

Rate ya Leo Malipo mtandaoni

$1 = TZS ‭2,582.076923076923‬

Njia ya malipo iliyotumika | Card ya Benki
 
Hahahah mipaka iko wazi dola imepanda na bidhaa za ndani zimepanda saivi hakuna bei ya msimu wa mavuno jamaa aje na ushauri mpya
 
Ukitaka kujua kwa urahisi kama shilingi ya bongo dhidi ya $$ ya Marekani kama imepanda au kushuka, angalia shilingi ngapi zinanunua $ moja! Mfano kama unanunua hela za Tanzania nyingi kupata $ moja maana yake sarafu ya Tanzania imepoteza thamani ndio maana unatumia hela nyingi kununua $ moja!! Unapotumia shilingi chache kununua $ moja maana yake shilingi thamani yake imeimalika!!
 
Reactions: Luv
Malipo kupitia PayPal | Muda huu

$1 = TZS. ‭2,612.45110821382‬
-
 
Reactions: Luv
Dolla moja itafika elfu 10,000 chini ya ccm wako busy na uchaguzi ujao wanawaza jinsi ya Kuiba kura.
 
Muda huu
US $1 = ‭2,643.754001883239‬

Njia ya malipo | Paypal

 
Update kwa wafanya Miamala mTandaoni. [as of April 2nd,2024 10:30am]
  • Prepaid Card (TZS) , Visa cards - Zimezuiwa kufanya miamala mtandaoni, Nimeongea na Equity Bank customer care, ndio maelezo niliyopewa. | Wanakutaka wewe mfanya miamala mtandaoni uwe na USD account, ndio itumike kufanya miamala yako husika.
  • Tigo Virtual card - Charges zao ni 5% ya Malipo ya USD unayofanya, Nimefanya Mazungumzo Tigo Customercare, na wamenipa huo ufafanuzi. Hivyo kufanya rate kuwa kubwa.
Baada ya kufanya mumala wa USD kupitia Tigo Virtula card Rate kwa leo, muda hu ni 1usd = TZS. 2,939.995258416311‬
- Bado sijajua kwa Mitandao mingine (voda, Airtel) rate iko ngapi kwa sasa.
nini kifanyike?
Je nini cha kufanya.
  • Hakikisha unapata USD prepaid card ambapo utakuwa ukifaya deposit kwa rate utakayopewa benki. Angalau kidogo bado iko chini haijavuka TZS.2,900
 

Muda huu:
  • 1usd = TZS. 2,992.000824402308‬
  • Visa Card
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…