Leo Dunia inasimama Yanga tumelipiza kwa kupiga kwenye chembe ya Moyo

Leo Dunia inasimama Yanga tumelipiza kwa kupiga kwenye chembe ya Moyo

[emoji116]
IMG-20200809-WA0010.jpg
 
Soka la kishamba limeanza kurejea tena ili kuwapumbaza mashabiki maandazi
 
Kitendo cha Kumchukua Morrison kimetuvuruga sana. Maumivu yake bado mabichi kabisa. Simba mngechukua hata nzima lakini siyo Morrison.

Sasa leo hii tunalipiza. Hatutawaacha salama. Tunalipiza sababu kisasi ni Sunna. Tutapiga kwenye chembe ya moyo.

SUBIRINI MAMBO YANAKUJA MUDA SI MREFU.

View attachment 1532090

Nlitamani awe Chama. Deo Kanda Bado Hatujawaumiza Simba. Kule hakuwepo kwenye first eleven. 😔😔😔😔😔😔😔
Dunia isimame Kwa upuuzi huu??

Hahahahahaaaaaa
 
Pole Mkuu CCM siyo kama vyama vyenu vya kishabiki. Kinawanachama makini.
Tena ujue kuwa CCM ndo maarufu siyo mtu. Nadhanii mifano unayo mizuri tu.
Ccm mfumo ilikua kabla ya 2015 baada ya hapo ni mabavu ya mtu mmoja..... Ukimsumbua unatishiwa bastola na ukizingua zaidi unatumwa kutibiwa nje.....

Hivi nyie maccm mbona wagumu kuelewa na wepesi kusahau yani mara hii umesahau suluba za miaka hii 5?????😀😀😀
 
Back
Top Bottom