FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,246 Reaction score 123,145 Jul 20, 2023 Thread starter #181 Nilijivika uchadema jana mpaka leo tarehe 20/07/2023 nimelivuwa joho, hakuna lolote huko, hata seera hakuna. Turufu ni matusi ili wapigwe vibomu vya machozi wakaombee pesa kwa mabwana zao.
Nilijivika uchadema jana mpaka leo tarehe 20/07/2023 nimelivuwa joho, hakuna lolote huko, hata seera hakuna. Turufu ni matusi ili wapigwe vibomu vya machozi wakaombee pesa kwa mabwana zao.