Leo hii nakimbia wanawake! Haya ni maajabu, sikuwahi kuwaza

Leo hii nakimbia wanawake! Haya ni maajabu, sikuwahi kuwaza

Quan Lup

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2016
Posts
683
Reaction score
946
kweli muda unazungumza aisee kila kitu kipe mda

Yaani kipindi nakua nilkua nahangaika na wanawake yaani ndugu yangu mmoja akaniambia utakuja kuwakimbia mweyewe wewe tulia tuu nikawa naona ni ndoto bada ya miaka kupita

Leo hii mimi nawakimbia wanawake kweli yaani wapo wengi wanakupa bure bure tuu mpaka unajiuliza mpka ambao walinikataaga wananipigia simu waje wanipe

Nazingatia Afya yangu natumia kondom au vipimo.
 
9b4861f666489ad5b28228cc682cd5d4.gif
 
If you've reached a point of seeing women as an irritation, then we scale you as a very financially successful man, who's probably over 30 and really focused.

But I highly doubt if a threader has reached that pinnacle of greatness. And unfortunately it's only 20% of men, that reach such level of greatness.

Or else, women must see you as an extremely attractive person which I also doubt.​
 
If you've reached a point of seeing women as an irritation, then we scale you as a very financially successful man, who's probably over 30 and very focused.

But I highly doubt if a threader has reached that pinnacle of greatness. And it's only 20% of men, that reach such level of greatness.

Or else, women must see you as an extremely attractive person which I also doubt.​
Malafyale ndagha fijho ikisungu ikyo...
 
kweli mda unazungumza aisee kila kitu kipe mda

Yaani kipindi nakua nilkua nahangaika na wawake yaani ndugu yangu mmoja akaniambia utakuja kuwakimbia mweyewe wewe tulia tuu nikawa naona ni ndoto bada ya miaka kupita

Leo hii mm nawakimbia wanawake kweli yaani wapo wengi wanakupa bure bure tuu mpaka unajiuliza mpka ambao walinikataaga wananipigia simu waje wanipe

Nazingatia Afya yangu natumia kondom au vipimo.
hii chai kbsaaaaa
 
kweli muda unazungumza aisee kila kitu kipe mda

Yaani kipindi nakua nilkua nahangaika na wanawake yaani ndugu yangu mmoja akaniambia utakuja kuwakimbia mweyewe wewe tulia tuu nikawa naona ni ndoto bada ya miaka kupita

Leo hii mimi nawakimbia wanawake kweli yaani wapo wengi wanakupa bure bure tuu mpaka unajiuliza mpka ambao walinikataaga wananipigia simu waje wanipe

Nazingatia Afya yangu natumia kondom au vipimo.
Pengine wewe ni hanithi ila vichenji chenji unatoa chapu.
 
Back
Top Bottom