Leo hii panalipuka huko kariakoo

Mmesajili magalasa matupu,wamechoma mahindi weee mpaka wamekata tamaa ndo mkajaziwa kwenye viroba mkapewa waje kucheza Yanga.Mayele,Makambo uko walikotoka wamemaliza na magoli mangapi au asist ngapi?
Haohao wanakiwasha mnaanza kumpigia magoti Karia na kutoa rushwa. Unakumbuka alichokisema msemaji wa Azam kuhusu Simba kuishinikuza Azam ikomae na Yanga??

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo ni azam pekee ndio huwa inskomaa na yanga? Kwamba ligi haina timu nyingine zinazoweza kukomaa na yanga siyo?
Utopolo akili zenu mmeshikiwa na Vyura kweli yani!
Utapu tapu fc[emoji196][emoji196]
 
Wewe tuliza msambwanda uelewe, hoja ilikuwa ni njama za nje ya uwanja za Simba dhidi ya Yanga, msemaji wa Azam alilalamika kuwa Simba iliwafuata ili wapigane kiume dhidi ya Yanga. Hii ni Azam ambao huwezi kuwahonga, jiulize kwenye club nyingine Simba huwa anafanya nini. Inabidi tumwombe mzee Rage arudi pale wajinga wameendelea kuwa wengi.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Mashabiki wa Simba hatuna presha kabisa,tupo tume relax tunasubiri taarifa sahihi za benchi la ufundi.
Simba the next level,Simba nguvu moja.

Dunia ya sasa timu zinasajili wachezaji kutoka nchi tofauti kwa ajili ya kutafuta Fan Base ila kuna timu inasajili nchi moja kutengeneza kikundi cha wacheza ngoma! Leo hii ukienda Malawi, Zambia, Ghana, Cote d'Ivoire, Mozambique, Kenya, Uganda utaikuta Simba inatajwa.
Ila ukienda Lubumbashi, Goma, Kinshasa, Limpopo, n.k unakuta Yanga ndio maarufu kama Vitenge vya Kigoma

Tukutane uwanjani sio kwenye music
 
Nendeni mkashitaki CAS ili Simba wanyang'anywe makombe yote
 
Mmesajili magalasa matupu,wamechoma mahindi weee mpaka wamekata tamaa ndo mkajaziwa kwenye viroba mkapewa waje kucheza Yanga.Mayele,Makambo uko walikotoka wamemaliza na magoli mangapi au asist ngapi?
Wewe jamaa mayele humjui,mpaka ligi ya congo inaisha mayele ana goli 12,top scorer wa as vita na top scorer namba 2 wa ligi ya congo baada ya huyo baleke wa tp mazembe,anaitwa fiston kalala mayele mpaka hapo kwenye hiyo picha alikua na goli 9,kawadanganye wenzio mayele alikua anakaa benchi

Kweli Utopolo ni Utopolo tu,pole sana mtani,mmeshikwa akili vibaya sana na injinia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…