mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Simba wanatoa mkeka,uto nao wanajaribu kuzima moto wa umeme kwa maji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa usajili huu wa Yanga, Wawa ataitwa Hawa.Mashabiki wa Simba hatuna presha kabisa,tupo tume relax tunasubiri taarifa sahihi za benchi la ufundi.
Simba the next level,Simba nguvu moja.
hahahahah Siku yangu imeenda poa sana
Na Manulla ataitwa Aishaa
Baadae lawama kwa TFF na bodi ya ligi
Mmesajili magalasa matupu,wamechoma mahindi weee mpaka wamekata tamaa ndo mkajaziwa kwenye viroba mkapewa waje kucheza Yanga.Mayele,Makambo uko walikotoka wamemaliza na magoli mangapi au asist ngapi?
Haohao wanakiwasha mnaanza kumpigia magoti Karia na kutoa rushwa. Unakumbuka alichokisema msemaji wa Azam kuhusu Simba kuishinikuza Azam ikomae na Yanga??Mmesajili magalasa matupu,wamechoma mahindi weee mpaka wamekata tamaa ndo mkajaziwa kwenye viroba mkapewa waje kucheza Yanga.Mayele,Makambo uko walikotoka wamemaliza na magoli mangapi au asist ngapi?
Huu ndiyo wakati pekee uto mnakuwa na furahaNa Manulla ataitwa Aishaa
Haohao wanakiwasha mnaanza kumpigia magoti Karia na kutoa rushwa. Unakumbuka alichokisema msemaji wa Azam kuhusu Simba kuishinikuza Azam ikomae na Yanga??
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Wewe tuliza msambwanda uelewe, hoja ilikuwa ni njama za nje ya uwanja za Simba dhidi ya Yanga, msemaji wa Azam alilalamika kuwa Simba iliwafuata ili wapigane kiume dhidi ya Yanga. Hii ni Azam ambao huwezi kuwahonga, jiulize kwenye club nyingine Simba huwa anafanya nini. Inabidi tumwombe mzee Rage arudi pale wajinga wameendelea kuwa wengi.Kwa hiyo ni azam pekee ndio huwa inskomaa na yanga? Kwamba ligi haina timu nyingine zinazoweza kukomaa na yanga siyo?
Utopolo akili zenu mmeshikiwa na Vyura kweli yani!
Utapu tapu fc[emoji196][emoji196]
Mashabiki wa Simba hatuna presha kabisa,tupo tume relax tunasubiri taarifa sahihi za benchi la ufundi.
Simba the next level,Simba nguvu moja.
Nendeni mkashitaki CAS ili Simba wanyang'anywe makombe yoteWewe tuliza msambwanda uelewe, hoja ilikuwa ni njama za nje ya uwanja za Simba dhidi ya Yanga, msemaji wa Azam alilalamika kuwa Simba iliwafuata ili wapigane kiume dhidi ya Yanga. Hii ni Azam ambao huwezi kuwahonga, jiulize kwenye club nyingine Simba huwa anafanya nini. Inabidi tumwombe mzee Rage arudi pale wajinga wameendelea kuwa wengi.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Maneno yenu ndio MAKOMBE nyie
Wewe jamaa mayele humjui,mpaka ligi ya congo inaisha mayele ana goli 12,top scorer wa as vita na top scorer namba 2 wa ligi ya congo baada ya huyo baleke wa tp mazembe,anaitwa fiston kalala mayele mpaka hapo kwenye hiyo picha alikua na goli 9,kawadanganye wenzio mayele alikua anakaa benchiMmesajili magalasa matupu,wamechoma mahindi weee mpaka wamekata tamaa ndo mkajaziwa kwenye viroba mkapewa waje kucheza Yanga.Mayele,Makambo uko walikotoka wamemaliza na magoli mangapi au asist ngapi?
Kweli Utopolo ni Utopolo tu,pole sana mtani,mmeshikwa akili vibaya sana na injinia.Wewe jamaa mayele humjui,mpaka ligi ya congo inaisha mayele ana goli 12,top scorer wa as vita na top scorer namba 2 wa ligi ya congo baada ya huyo baleke wa tp mazembe,anaitwa fiston kalala mayele mpaka hapo kwenye hiyo picha alikua na goli 9,kawadanganye wenzio mayele alikua anakaa benchi
View attachment 1879423