Iran sio Venezuela...Hiyo kuomba kuonana mtego huo.
Akitokea hadharani tu, kaisha.
Hii umejibu kirahisi kiasi kwamba siamini ukitumia angalau 30% ya uwezo wako ...Na kwanza Trump atapangiwa pa kukutana, amuue na yeye afe pia au ?
Ayatollah Trump anatapatapa. Rais Mojtaba hatakubali kukutana na shetani huyu ambaye ni saizi ya akina samuyaRaisi Trump amesema anataka kukutana na Ayatollah Mojtaba ili wayamalize😂..
Aise dunia inaenda kasi, kuanzia tumewavuruga, mpaka kuomba kukutana na Mjuba mwenyewe, tutaona mengi sana.
Tulimcheka Mrusi anapelekeshwa na Ukraine.
Leo hii supa pawa wa wamarekani wa kwa mtogole anaomba poo🤣
Aibu....
View attachment 3600845
Na hili ndilo lengo lake kuu. Trump siyo mtu wa kumwamini kwa chochote. Dakika 0 anakugeuka.Hiyo kuomba kuonana mtego huo.
Akitokea hadharani tu, kaisha.
Ayatollah hajaonekana tangu ateuliwe, Trump kachoka kuongea na mzimu anatakumuona maana wanahisi yuko mbinguni kitambo.Hiyo kuomba kuonana mtego huo.
Akitokea hadharani tu, kaisha.
Waajemi ni tofauti na mataifa mengine wao kujiua sio ishu Trump hawezi kumkamata Kiongozi wa Waajemi au Korea Kaskazini watafanya kama walivyokubaliana anawakamata wale ambao wanapenda kuishi na kuogopa kufa ila sio hao jamaa wana misimamo mikali know kwenye mambo yao..Na hili ndilo lengo lake kuu. Trump siyo mtu wa kumwamini kwa chochote. Dakika 0 anakugeuka.
MtegoRaisi Trump amesema anataka kukutana na Ayatollah Mojtaba ili wayamalize😂..
Aise dunia inaenda kasi, kuanzia tumewavuruga, mpaka kuomba kukutana na Mjuba mwenyewe, tutaona mengi sana.
Tulimcheka Mrusi anapelekeshwa na Ukraine.
Leo hii supa pawa wa wamarekani wa kwa mtogole anaomba poo🤣
Aibu....
View attachment 3600845
Dunia inakimbia sana ni suala la muda tu na Putin ataomba kuongea na Zelensky wayamalize.Raisi Trump amesema anataka kukutana na Ayatollah Mojtaba ili wayamalize😂..
Aise dunia inaenda kasi, kuanzia tumewavuruga, mpaka kuomba kukutana na Mjuba mwenyewe, tutaona mengi sana.
Tulimcheka Mrusi anapelekeshwa na Ukraine.
Leo hii supa pawa wa wamarekani wa kwa mtogole anaomba poo🤣
Aibu....
View attachment 3600845
Kupelekeshwa anapelekeshwa si kidogo... yaani muajemi mdomdo anamletea trumpa ukichaaRaisi Trump amesema anataka kukutana na Ayatollah Mojtaba ili wayamalize😂..
Aise dunia inaenda kasi, kuanzia tumewavuruga, mpaka kuomba kukutana na Mjuba mwenyewe, tutaona mengi sana.
Tulimcheka Mrusi anapelekeshwa na Ukraine.
Leo hii supa pawa wa wamarekani wa kwa mtogole anaomba poo🤣
Aibu....
View attachment 3600845
Hilo halitatokea... zelinski anasaidiwa sana na ulaya nato... nao wataishiwa kama mmarekaniDunia inakimbia sana ni suala la muda tu na Putin ataomba kuongea na Zelensky wayamalize.
Wewe una sababu gani kutetea uvamizi wa Urusi kule Ukraine au hata uvamizi wa Marekani kule IranHilo halitatokea... zelinski anasaidiwa sana na ulaya nato... nao wataishiwa kama mmarekani
ama watakula mabomu ya mrusi wakizidisha upuuzi wao
Wala sitetei...Wewe una sababu gani kutetea uvamizi wa Urusi kule Ukraine au hata uvamizi wa Marekani kule Iran