Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,801
- 6,806
Leo mtuhumiwa wa msokoto amekuwa lulu Lumumba.mleta mada utakuwa jinsia ya kike bila shaka
Tanzania ni nchi unayoweza ku-feed jambo lolote kwenye akili za watu na kila mtu akiliamini bila hata kujiuliza mara mbili.Ni wapi na lini
makonda alikuwa ana deal na watu wa madawa ya kulevya ?
Msiwe na akili kisoda.
siku moja naombea watokee watu wasiojulikana watembeze bakora kwa wafuata upepo Wote ndani ya nchi hii hadi akili ikae sawa.Tanzania ni nchi unayoweza ku-feed jambo lolote kwenye akili za watu na kila mtu akiliamini bila hata kujiuliza mara mbili.
1. Kuna dada mmoja sasa ni marehemu akiitwa Amina Chifupa. Alipofariki kila mtu akasema alikuwa shujaa wa kupapana na madawa ya kulevya. Ukiuliza alifanya nini hakuna jibu, sana sana utasikia alikuwa na listi ya wauza unga!
2. Kuna huyu ndugu Paul Makonda aka Bashite. Kila anapofanya blunder kama kawaida yake akikosolewa watu anadakia kuwa anachukiwa kwa sababu anapiga vita madawa eti! Ukiuliza hata nusu mtu aliyewahi kumfunga hamna jibu.
3. Kuna huyu mbakaji Babu Seya. Watu wamekalia amezingiziwa. Ukiuliza hamna hata mmoja mwenye ufahamu hata wa kesi ilivyoendeshwa
Unamaana gani?Watanzania!!! Ipo mtaamka na kujua matumizi ya social media!! Kwenu wote mlotia neno kwenye uzi huu
Nimecheka sanaa aiseemleta mada utakuwa jinsia ya kike bila shaka
Heshima kuu RC Makonda.
Umesifiwa nakupewa kila aina ya jina kwa kujitokeza na kutangaza ya kuwa unapambana na madawa ya kulevya.
Leo umepiga picha ukiwa na mtuhumiwa wa madawa ya kulevya na ambaye kesi bado iko mahakamani.
Tukueleweje???
Daddy came.Baba bashite kesha wasamehe woote kabisa:: WAFIRAJI,WAUAJI,WAUZAJI NA WAVUTAJI WA MADAWA YA KULEVYA........!!!Hivo kupiga picha na watu hao siyo issue....!!!!
Watanzania!!! Ipo mtaamka na kujua matumizi ya social media!! Kwenu wote mlotia neno kwenye uzi huu
Ni Kwel mkuu watu Ni bendera fata upepoTanzania ni nchi unayoweza ku-feed jambo lolote kwenye akili za watu na kila mtu akiliamini bila hata kujiuliza mara mbili.
1. Kuna dada mmoja sasa ni marehemu akiitwa Amina Chifupa. Alipofariki kila mtu akasema alikuwa shujaa wa kupapana na madawa ya kulevya. Ukiuliza alifanya nini hakuna jibu, sana sana utasikia alikuwa na listi ya wauza unga!
2. Kuna huyu ndugu Paul Makonda aka Bashite. Kila anapofanya blunder kama kawaida yake akikosolewa watu anadakia kuwa anachukiwa kwa sababu anapiga vita madawa eti! Ukiuliza hata nusu mtu aliyewahi kumfunga hamna jibu.
3. Kuna huyu mbakaji Babu Seya. Watu wamekalia amezingiziwa. Ukiuliza hamna hata mmoja mwenye ufahamu hata wa kesi ilivyoendeshwa
Na mimi natia kama weweWatanzania!!! Ipo mtaamka na kujua matumizi ya social media!! Kwenu wote mlotia neno kwenye uzi huu