Leo hii Wema Sepetu wa kumuita Makonda "Le Brother"?

Ni wapi na lini
makonda alikuwa ana deal na watu wa madawa ya kulevya ?

Msiwe na akili kisoda.
Tanzania ni nchi unayoweza ku-feed jambo lolote kwenye akili za watu na kila mtu akiliamini bila hata kujiuliza mara mbili.
1. Kuna dada mmoja sasa ni marehemu akiitwa Amina Chifupa. Alipofariki kila mtu akasema alikuwa shujaa wa kupapana na madawa ya kulevya. Ukiuliza alifanya nini hakuna jibu, sana sana utasikia alikuwa na listi ya wauza unga!
2. Kuna huyu ndugu Paul Makonda aka Bashite. Kila anapofanya blunder kama kawaida yake akikosolewa watu anadakia kuwa anachukiwa kwa sababu anapiga vita madawa eti! Ukiuliza hata nusu mtu aliyewahi kumfunga hamna jibu.
3. Kuna huyu mbakaji Babu Seya. Watu wamekalia amezingiziwa. Ukiuliza hamna hata mmoja mwenye ufahamu hata wa kesi ilivyoendeshwa
 
siku moja naombea watokee watu wasiojulikana watembeze bakora kwa wafuata upepo Wote ndani ya nchi hii hadi akili ikae sawa.
 
Watanzania!!! Ipo mtaamka na kujua matumizi ya social media!! Kwenu wote mlotia neno kwenye uzi huu
 
Heshima kuu RC Makonda.
Umesifiwa nakupewa kila aina ya jina kwa kujitokeza na kutangaza ya kuwa unapambana na madawa ya kulevya.

Leo umepiga picha ukiwa na mtuhumiwa wa madawa ya kulevya na ambaye kesi bado iko mahakamani.
Tukueleweje???

Baba bashite kesha wasamehe woote kabisa:: WAFIRAJI,WAUAJI,WAUZAJI NA WAVUTAJI WA MADAWA YA KULEVYA........!!!Hivo kupiga picha na watu hao siyo issue....!!!!
 
Kwa mujibu wa ile audio clip ya wema aliyerecodiwa kipindi amewekwa ndani alidai jamaa aliomba mbunye akachomoa ndomana alimshika hadi akawa analalamika mbona hajamshika masogange kisa anambandua na kampangia nyumba makongo juu!
 
Tanzania ni nchi unayoweza ku-feed jambo lolote kwenye akili za watu na kila mtu akiliamini bila hata kujiuliza mara mbili.
1. Kuna dada mmoja sasa ni marehemu akiitwa Amina Chifupa. Alipofariki kila mtu akasema alikuwa shujaa wa kupapana na madawa ya kulevya. Ukiuliza alifanya nini hakuna jibu, sana sana utasikia alikuwa na listi ya wauza unga!
2. Kuna huyu ndugu Paul Makonda aka Bashite. Kila anapofanya blunder kama kawaida yake akikosolewa watu anadakia kuwa anachukiwa kwa sababu anapiga vita madawa eti! Ukiuliza hata nusu mtu aliyewahi kumfunga hamna jibu.
3. Kuna huyu mbakaji Babu Seya. Watu wamekalia amezingiziwa. Ukiuliza hamna hata mmoja mwenye ufahamu hata wa kesi ilivyoendeshwa
Ni Kwel mkuu watu Ni bendera fata upepo
 
Back
Top Bottom