Wewe utakuwa ni muhaya au mkusanya mapato katika mechi zinazosimamiwa na tff ya malinziHata Bashite angekuwa nyuma yake hapa ni Malinzi tuu.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Kwahiyo hicho Ndio kiwe kigezo cha yeye kuendelea?Kwani waliomtangulia walileta mafanikio gani ya maana? Wote wale wale tu!
Maendeleo gani ya soka yaliyokuwepo kabla yake?Malinzi kaharibu sana maendeleo ya soka
Na hatua 99 nyumaAlly na mtem akili hizi zikikaa pamoja naamin twaweza piga hatua moja mbele zaid
Soka gani lilokuwa na uhai labda?#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
cc Jamali Malinzi
Kwa hiyo ukishacheza mpira ndio kujua leadership na management ya mpira sio?only in Tanzania ndio maana soka letu haliendelei sababu mmejaa unafiki na hamjui ñini hasa mnataka.Gentamycine why pick on Malizi if I may ask? Ukweli wa mambo uongozi wa mpira nchni ni balaa tupu, na ujinga huu hauja anza leo na sijui kwa nini Serikali yetu ilikuwa inavumumilia usanii huu kwa miaka nenda rudi!! Mpira uliondoka na utawala wa awamu ya kwanza tawala zilizo fuata ziliwapa leeway TFF, ukijaribu kuchunguza kwa umakini utakuta Viongozi ni wale wale wanacho fanya ni kuwa-recycle basi, wengine hawajawahi hata kucheza mpira au kuwa na taaluma yoyote kuhusu masuala ya SOKA wanacho tanguliza mbele ni maslahi yao binafsi na kufuja fedha za FIFA, CECAFA na makusanyo ya fedha za viingilio kwa kuchapisha tiketi feiki au ku manipulate electronic ticketing system - TTF ni shamba la bibi ndiyo maana watu wanataka kutoana macho kutiliana fitina and all vices you can imagine kwa kungombea Uongozi.
Tukumbuke kwamba mchezo wa SOKA unaweza kulitangaza Taifa letu tukiwa na wachezaji wazuri,makocha na Viongozi wa TFF wanao jali uzalendo kwanza kuliko maslahi binafsi, Dk.Magufuli amefanikiwa sana katika vita ya kubaini vyeti feiki, wafanya kazi hewa, udanganyifu katika biashara ya madini, ku-deal na wezi/mafisadi vita iliyo bakia ni kuhusu umangimeza unaofanyika katika Uongozi na uendeshaji wa Mchezo wa mpira Nchini - sekta hii imekuwa kama kichwa cha wenda wazimu, hakuna mafanikio to talk about zaidi za ku-invent excuses kila tunapo shindwa kufanya vizuri Kimataifa.
Kinacho shangaza zaidi unakuta masaa yote Viongozi wa mpira wanapoteza muda waki entertain infights na malumbano ya kijinga badala ya kuendeleza mchezo wa mpira nchini. Binafsi napendekeza kwa Rais wetu mpendwa/Serikali yake aingilie kati na kupiga marufuku wale wote wanaojulikana walichangia katika udidimizaji wa mchezo wa mpira nchini na wanajulikana basi wasiruhusiwe kugombea Uongozi wa soka nchini i.e wapewe life ban, tuwe wakweli hapa wengi wanao pania sana Uongozi wa TFF ni wavurugaji tu - wateuliwe watu wengine kabisa preferrably damu mpya wenye mawazo mapya na uzalendo uliyo tukuka tumechoshwa na waigizaji.
Hata akiwa na magogo hawezi kumshinda Jabali MalinziAlly Mayai si Bure lazima ana watu wengi vigogo wa Mpira waliopo Nyuma yake, kwahiyo Malinzi Ajiandae Kisaikolojia watu wamechoka na Bla bla
Aibu anatembea uchi?Mkuu, mapinduzi ya soka hapa nchini yatafanywa tu pakiondolewa Usimba na Uyanga. Tazama sasa wanavojipanga, kama rais ni Msimba basi makamu wake lazima awe Myanga. Malinzi apumzike tu kwa kweli maana ni aibu sana.
Si kigezo cha yeye kuendelea, nilichomaanisha ni kwamba hata viongozi waliopita hakuna cha maana walichokifanya na hata hao mnaowataka hakuna watakachofanya kama serikali haitashiriki ipasavyo katika kukuza michezo nchini. Then watu wanadhani Ally kwa vile anachambua vema soka ndo labda atafanikiwa katika kuongoza!Kwahiyo hicho Ndio kiwe kigezo cha yeye kuendelea?
Hao bongo zao zimejaa makinikia.Tena Malinzi anapiga kura kwani ni mwenyekiti wa chama cha mkoa anakotoka, maajabu haya!!!!!!!!!!!!!
Ww jamaa ni MALI YA NZI sio bure mana naona unajtahd sana kjbu lazma utoke mwka huu umeendekza ukabila kwny mpra ndo mana ni mshamba wa pori
Hala ikitokea akiwa Rais na Yanga kuchukua ubingwa hamtaacha kudai kuwa anaibeba Yanga kama Malinzi?Mimi Ni Simba damu!!
Hata komenti zangu za humu zita thibitisha Hilo lakini katika hao wagombea wote kama Ally Mayay akichukua fomu nitamuunga mkono
Kweli kabisa wakina Mayai na Mtemi wao wanajua kuoongoza masoko makubwa tuu kama Kariakoo na Temeke StereoSoko likiongozwa na wenye soko wao afu wenye ueledi mkubwa kama wa Ally Mayai hakika soka letu litakua safi
Acha vitisho wewe popoma unichenjie wewe kama nani labda na wewe kama nani umpangie mtu cha kupost au kusapoti mgombea amtakae?Hivi huoni aibu kuongea hizi Pumba zako? Unakoelekea utanikera sasa hivi kisha nikuchenjie sawa? Wewe unajua maana ya Football Academies? Nikikuomba unionyeshe angalau mbili ( 2 ) zilizoanzishwa na Jamal Malinzi unaweza? Hivi unajua lakini kuwa hizi comments zako za Kifedhuli zinatutia na kutupandisha Hasira sisi Wadau na wenye Uchungu na huu mpira wetu? Halafu katika thread content yangu nimeongelea Kabila lake? Hivi unadhani 95% ya Watanzania wasiomtaka na ambao hawajapendezwa na Uongozi / Utawala wa Rais wa sasa wa TFF Jamal Emilio Malinzi ni Mapopoma / Wapumbavu? Comments zako zinatutia sana hasira sisi tunaoujua Uozo mkubwa uliopo pale TFF kwa sasa.
Walitaka labda awaletee vifurushi vya mpira kutoka Dstv ili ndio waone kweli mpira umeendelea.Mimi siye!! Lakini ulitaka alete nini labda!!!?