Leo huenda ikawa siyo siku nzuri kwa Rais wa TFF Malinzi kwani Mapacha hawa kuchukua Fomu rasmi

Leo huenda ikawa siyo siku nzuri kwa Rais wa TFF Malinzi kwani Mapacha hawa kuchukua Fomu rasmi

Wadau wengi naona wanataka JMalinzi apumzike..ni wakati wa mabadiliko...Ngoja tusubiri uchaguzi
 
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
cc Jamali Malinzi
Soka gani lilokuwa na uhai labda?

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Gentamycine why pick on Malizi if I may ask? Ukweli wa mambo uongozi wa mpira nchni ni balaa tupu, na ujinga huu hauja anza leo na sijui kwa nini Serikali yetu ilikuwa inavumumilia usanii huu kwa miaka nenda rudi!! Mpira uliondoka na utawala wa awamu ya kwanza tawala zilizo fuata ziliwapa leeway TFF, ukijaribu kuchunguza kwa umakini utakuta Viongozi ni wale wale wanacho fanya ni kuwa-recycle basi, wengine hawajawahi hata kucheza mpira au kuwa na taaluma yoyote kuhusu masuala ya SOKA wanacho tanguliza mbele ni maslahi yao binafsi na kufuja fedha za FIFA, CECAFA na makusanyo ya fedha za viingilio kwa kuchapisha tiketi feiki au ku manipulate electronic ticketing system - TTF ni shamba la bibi ndiyo maana watu wanataka kutoana macho kutiliana fitina and all vices you can imagine kwa kungombea Uongozi.

Tukumbuke kwamba mchezo wa SOKA unaweza kulitangaza Taifa letu tukiwa na wachezaji wazuri,makocha na Viongozi wa TFF wanao jali uzalendo kwanza kuliko maslahi binafsi, Dk.Magufuli amefanikiwa sana katika vita ya kubaini vyeti feiki, wafanya kazi hewa, udanganyifu katika biashara ya madini, ku-deal na wezi/mafisadi vita iliyo bakia ni kuhusu umangimeza unaofanyika katika Uongozi na uendeshaji wa Mchezo wa mpira Nchini - sekta hii imekuwa kama kichwa cha wenda wazimu, hakuna mafanikio to talk about zaidi za ku-invent excuses kila tunapo shindwa kufanya vizuri Kimataifa.

Kinacho shangaza zaidi unakuta masaa yote Viongozi wa mpira wanapoteza muda waki entertain infights na malumbano ya kijinga badala ya kuendeleza mchezo wa mpira nchini. Binafsi napendekeza kwa Rais wetu mpendwa/Serikali yake aingilie kati na kupiga marufuku wale wote wanaojulikana walichangia katika udidimizaji wa mchezo wa mpira nchini na wanajulikana basi wasiruhusiwe kugombea Uongozi wa soka nchini i.e wapewe life ban, tuwe wakweli hapa wengi wanao pania sana Uongozi wa TFF ni wavurugaji tu - wateuliwe watu wengine kabisa preferrably damu mpya wenye mawazo mapya na uzalendo uliyo tukuka tumechoshwa na waigizaji.
Kwa hiyo ukishacheza mpira ndio kujua leadership na management ya mpira sio?only in Tanzania ndio maana soka letu haliendelei sababu mmejaa unafiki na hamjui ñini hasa mnataka.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo hicho Ndio kiwe kigezo cha yeye kuendelea?
Si kigezo cha yeye kuendelea, nilichomaanisha ni kwamba hata viongozi waliopita hakuna cha maana walichokifanya na hata hao mnaowataka hakuna watakachofanya kama serikali haitashiriki ipasavyo katika kukuza michezo nchini. Then watu wanadhani Ally kwa vile anachambua vema soka ndo labda atafanikiwa katika kuongoza!
 
Mimi Ni Simba damu!!
Hata komenti zangu za humu zita thibitisha Hilo lakini katika hao wagombea wote kama Ally Mayay akichukua fomu nitamuunga mkono
Hala ikitokea akiwa Rais na Yanga kuchukua ubingwa hamtaacha kudai kuwa anaibeba Yanga kama Malinzi?

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Hivi huoni aibu kuongea hizi Pumba zako? Unakoelekea utanikera sasa hivi kisha nikuchenjie sawa? Wewe unajua maana ya Football Academies? Nikikuomba unionyeshe angalau mbili ( 2 ) zilizoanzishwa na Jamal Malinzi unaweza? Hivi unajua lakini kuwa hizi comments zako za Kifedhuli zinatutia na kutupandisha Hasira sisi Wadau na wenye Uchungu na huu mpira wetu? Halafu katika thread content yangu nimeongelea Kabila lake? Hivi unadhani 95% ya Watanzania wasiomtaka na ambao hawajapendezwa na Uongozi / Utawala wa Rais wa sasa wa TFF Jamal Emilio Malinzi ni Mapopoma / Wapumbavu? Comments zako zinatutia sana hasira sisi tunaoujua Uozo mkubwa uliopo pale TFF kwa sasa.
Acha vitisho wewe popoma unichenjie wewe kama nani labda na wewe kama nani umpangie mtu cha kupost au kusapoti mgombea amtakae?

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom