Leo huenda ikawa siyo siku nzuri kwa Rais wa TFF Malinzi kwani Mapacha hawa kuchukua Fomu rasmi

Ni kweli Malinzi tumeshamuona,hafai hafai hafai....hata misingi imara aliyowekewa na Tenga imemshinda. Kiongozi gani hana hata vision. Kwa muda aliokaa madarakani its wastage
Acha chuki na husda lete CV na mafanikio ya uongozi wa Mayai.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Malinzi hajawahi kupata sapoti ya serikali kama Tenga lakini kajitahidi kama yeye. Malinzi hakuwa na wafadhiri wengi lakini kajitahidi sana. Malinzi kaweka Twigs Stars kwenye ramani na kachukua Afrika Mashariki. Kaanzisha academies kibao na kaifufua Serengeti yetu hadi Afcon. Sahivi yuko na under 19, bado mtu anasema sioni lolote. Huu ni unafiki mkubwa sana, mnyonge mkitaka mnyongeni lakini na haki yake pia mpeni
 
Hapa tupo pamoja mkuu naona kule kwingine uliteleza.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…