Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,289
- 9,748
- Thread starter
-
- #41
Safi Ushauri mzuri kabisa huuTumia mkongo
Tembeza putururu
Ukimwi upo
Sure Mzee ukienda real bila mkongo wanakuona ww huna jamboHawq madogo ndio wanaotufanya tuonekane wasenga tu mbele ya mademu, mademu wengi wanapelekewa Moto feki,
Kila mtu na maisha yakeLeo mida ya jioni hii kuna sehemu nilikaa napiga story na jamaa yangu kuna madogo kama wawili walikuja kwa huyu jamaa yangu yeye ni mfanyabiashara wa Simu walikuwa wanataka simu Kali kama ya million na ushee eti Samsung s 23 ngapi uko.
Katika story zao nikagundua awa madogo ni wanafunzi mwaka wa kwanza Chuo Kimoja Mjini hapa tukawa tunapiga story wakasema boom limetoka leo hivyo dogo kadraw hela yote kauza laptop na simu nyingine alikuwa anatumia hili aongeze na boom anunue simu.
Nikamuuliza dogo sasa ukitoa hela yote ukanunua simu utapata wapi hela ya kula majibu aliyonijibu ndo nimesikitika sana.
Dogo akinijibu unajua brother Mimi hapa Nina mademu wawili wote wananionga kwahiyo issue ya Kula sio issue Sana hapa atakulewa nalewa Kwa hela yao dogo akaanza kunisimulia Mimi bro natumia mcongo sana kwahiyo najitahidi kila siku napokutana na demu nipake mcongo na hiyo putururu hili niwakoleze mademu wanionge huyu dogo kazaliwa 2003 anasema mwaka wa 4 huu anatumia mcongo nikamuwazia huyu dogo Kwa huu mcongo Miaka 5 ijayo si atakuwa ameharibika Sana upande wake wa nguvu za Kiume na anasema bila mcongo hatoboi dah awa watoto wetu sijui wanaelekea wapi.
Huyu dogo nimempigia hesabu ya Miaka mitano mbele nimemskitikiaHuyo bila mkongo hatombi sa sijui akioa itakuaje.... Akistukizwa shoo ni aibu kwa kweli
Mpe Moja tuNikutukane??? [emoji44]
Kizazi cha chpsLeo mida ya jioni hii kuna sehemu nilikaa napiga story na jamaa yangu kuna madogo kama wawili walikuja kwa huyu jamaa yangu yeye ni mfanyabiashara wa Simu walikuwa wanataka simu Kali kama ya million na ushee eti Samsung s 23 ngapi uko.
Katika story zao nikagundua awa madogo ni wanafunzi mwaka wa kwanza Chuo Kimoja Mjini hapa tukawa tunapiga story wakasema boom limetoka leo hivyo dogo kadraw hela yote kauza laptop na simu nyingine alikuwa anatumia hili aongeze na boom anunue simu.
Nikamuuliza dogo sasa ukitoa hela yote ukanunua simu utapata wapi hela ya kula majibu aliyonijibu ndo nimesikitika sana.
Dogo akinijibu unajua brother Mimi hapa Nina mademu wawili wote wananionga kwahiyo issue ya Kula sio issue Sana hapa atakulewa nalewa Kwa hela yao dogo akaanza kunisimulia Mimi bro natumia mcongo sana kwahiyo najitahidi kila siku napokutana na demu nipake mcongo na hiyo putururu hili niwakoleze mademu wanionge huyu dogo kazaliwa 2003 anasema mwaka wa 4 huu anatumia mcongo nikamuwazia huyu dogo Kwa huu mcongo Miaka 5 ijayo si atakuwa ameharibika Sana upande wake wa nguvu za Kiume na anasema bila mcongo hatoboi dah awa watoto wetu sijui wanaelekea wapi.
@dronedrake naona umesikitikakuhongwa uku unapata papuchi ya bure ni bahati iliyoje
kongole nyingi ziende kwake
Ishu ni kutompangia mtu matumizi tu basi ,Mkuu umekula mchana?? Maana naona mapovu umekisoma nilichokiandika?
Umesoma vizuri jamaa alichokiandika???Sasa mbona jambo la kitoto namna hiyo unalileta hapa suala lilikuwa ni kumshauri tu bwana mdogo kuwa Kuna moja na mbili Sasa ww umemdodosa zen ushauri wako kwake unauleta huku Kweli baada ya huu mwaka kuisha tunapoteza watu wenye busara na hekima tunabakiza walopokaji walopokaji kama ww
Hajauliza maswali wao wenyewew ndo walikuwa wanapiga izo story,yeye kahoji tu.Unauliza maswali wateja hivyo kwenye duka la mtu means unamfanya mteja mjinga kununua hio bidhaa
Pili, una ukoloni sana mzee umekutana na kijana humble mpaka mkafikishana huko in my day life huwezi nihoji maswali kiwaki naona hio ungeishia swali la kwanza tu na kupiga kimya
Mkuu Mimi navitu zangu original kabisa nikitumia hayo madudu si ntaua watuHuyo dogo ni wewe mkuu!!
Muulize ww mwanangu naona huyu jamaa dishi limeyumba sikutaka ata kumjibuUmesoma vizuri jamaa alichokiandika???