Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Misitaki kujua chochote ungeandama usingeandama iddi leo, sijatoka kwa bed
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko Dr. JJPM alinifukuzaga imebaki familia tu. Nipo Dommkoa wa Dar mzee
Duh, umetisha mkuu 😂😂😂Misitaki kujua chochote ungeandama usingeandama iddi leo, sijatoka kwa bed
Bakwata wamesema Jumamosi,na usisahau,Bakwata=SerikaliJana kuna Jumbe mbili zinatembea mitandaoni, ujumbe wa mapema unasema mwezi haujaonekana wa pili ambao mi nliupata sa4+ ni video clip inayosema mwezi umeonekana. So nauliza niendelee kufunga 30 au nianze kujiandaa kwenda Msikiti wa Gadafi nikaswali swala ya Ijumaa?
Nawasilisha, kazini SIENDI hata mkisema sio IDDI
Mi Msuni 😎Bakwata wamesema Jumamosi,na usisahau,Bakwata=Serikali
So,in reality,ni Jumamosi
Hakuna dharau hapo.Dunia nzima tuna jua moja na mwezi mmoja labda kama Tanzania tuna mwezi wetu,hawa wazee wa kobazi wanachezewa mnoAcha dharau aisee😡😡😡
Mkuu usisahau kunitumia ebitokeBaada ya kuona huko inacheleweshwa. Nimechomoka Butiama jana leo nipo Uganda kusheherekea Eid
Mi Msuni 😎
Na Bora mfungulie hiyo kesho Ili bei ya kitimoto ipande na biashara ichanganye mjiniView attachment 2594763
Eid kesho
Ile picha sio poaHakuna dharau hapo.Dunia nzima tuna jua moja na mwezi mmoja labda kama Tanzania tuna mwezi wetu
Jamaa 😆😆Na Bora mfungulie hiyo kesho Ili bei ya kitimoto ipande na biashara ichanganye mjini
AahhahhhaaJamaa 😆😆
LeoJana kuna Jumbe mbili zinatembea mitandaoni, ujumbe wa mapema unasema mwezi haujaonekana wa pili ambao mi nliupata sa4+ ni video clip inayosema mwezi umeonekana.
So nauliza niendelee kufunga 30 au nianze kujiandaa kwenda Msikiti wa Gadafi nikaswali swala ya Ijumaa?
Nawasilisha.
NB: kazini SIENDI hata mkisema leo sio IDDI!!
LeoJana kuna Jumbe mbili zinatembea mitandaoni, ujumbe wa mapema unasema mwezi haujaonekana wa pili ambao mi nliupata sa4+ ni video clip inayosema mwezi umeonekana.
So nauliza niendelee kufunga 30 au nianze kujiandaa kwenda Msikiti wa Gadafi nikaswali swala ya Ijumaa?
Nawasilisha.
NB: kazini SIENDI hata mkisema leo sio IDDI!!
😇😇😇
Hii naona wamejiandikia watakula wenyewe,huku kila mtu anaswali idi sahii
Hata huku naona wanaswali, tena suni ndio wameweka vipaza haswaaMitaa niliyopo nasikia wanaswali , sasa sijui wamejiongeza au la.