Leo imeniuma sana baada ya kujikuta usiku wa leo natembea na shemeji yangu

Uzi huu ungeupeleka kwenye kula kimasihara banaaa..
 
Mmeonana wote wawili mkiwa hamna akili. Angekuwepo mmoja mwenye akili hata ndogo tu ya kuvukia barabara, hilo lisingewezekana kabisa.
 
Nonesense. Ngoja tuendelee kuhoji jinsi tutakavyolipa mkopo wa tril1.3 na deni la tril 71.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…