Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekosa nimekosa Mimi, nimekosa sana! Huku anajipigapiga kifuaNdugai ameomba msamaha.
xdeSasa 'Imeniuma kweli'/inakujaje halo Mwanga Wewe?Baada ya mwezi, shemeji siku zangu zimepotea
Hahaha
Hii chai hii..halafu hua najiuliza kila mleta mada humu JF anakula demu mkali mara anaumbo zuri..sura nzuri sijui chura..tunaomba muwe mnatuma hata picha..vinginevyo acheni kutunywesha chai ya siturungi.Wakuu heri ya mwaka mpya, naamini mmeanza mwaka mpya kwa utulivu kabisa, maake najua stress za karo tushaachana nazo tangu 2021 Dec.
Leo imeniuma sana baada ya kujikuta usiku wa leo natembea na shemeji yangu ( demu wa rafiki yangu) bila kudhamilia, ilikuwa hivi shemeji alinipigia simu jana kuwa yuko njiani anakuja Dom kutokea Dsm na hajawazia kulala logde koz anaamini shemeji yake nipo, hivyo alifikia kwangu.
Alifika majira ya saa mbili usiku nikampokelea bar moja hapa mjini tukachoma kuku tukala, baadaye tukaondoka kwenda kwangu nilimuuliza kama rafiki yangu ana taarifa akasema hapana.
Baada ya kufika home akapumzika kidogo then nikamcheshia maji ya kuoga nikampelekea bafuni, kaenda kuoga kisha kubadili nguo na kuvaa dela peke yake bila sidilia wala chupi kafikia kujimwaga kwenye sofa akajilaza kisha tukaendelea na story,
Shemeji yangu kajaliwa umbo hivyo aliweza kuonekana vizur kwenye dela alobadili, akili ilinihama kabisa sijui ni shetani gani alinikamata, sikumbuki hata tulianzaje, ila nachokumbuka nilimwambia dodoma kuna mbu sana nilimshauri tulale tu kwenye chumba changu, asilale chumba kingine, huyu shemeji nimemla usiku kucha , sikupata usingiz kutokana na mwili wake ulivyo yaani kila sehemu unayogusa ni teketeke,sijawahi ona, yaani kama nyama zinataka kudondoka, yenteyente! yaani kila tukitoka kuoga ukishika taulo kumkausha maji chuma kinasimama, katika maisha yangu sijawahi kutana na aina hii ya mwanamke, Uuwi mama yangu khaaa! Aisee unaweza kufa kabisa, Asubuhi nimemwandalia chai kanywa kisha kaondoka kwenda kwenye mambo yake wizarani na atarudi leo Dsm.
Na haujapokelewa wala nini! Mashambulizi nfo yataongezeka na ndo pigo lake yule bwana yesu alitembea na mke wake toka Jerusalem mpaka Galilaya.Ndugai ameomba msamaha.
[emoji16][emoji16] eti anadai hajui hata ilikuwaje kuwaje ila shemeji ni yente yente sijui teketeke yaani huyu nae muhuni tu na tabia za kihuni
Mkuu wa mhimili amewezekanaNimekosa nimekosa Mimi, nimekosa sana! Huku anajipigapiga kifua
[emoji16][emoji16] akapime tu STD'S[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tushamshukia huyooo
Eti nyama kama zinataka kudondoka jaman jaman[emoji23][emoji23][emoji23]ili tumsupport ilkua haki yake kenge huyo
Kanywea kabisaaaaaaaMkuu wa mhimili amewezekana
kutokana na mwili wake ulivyo yaani kila sehemu unayogusa ni teketek
sijui ni shetani gani alinikamata
Uroho tu mkuu usimsingize shetani!!sijawahi ona, yaani kama nyama zinataka kudondoka, yenteyente!
😀Ndugai ameomba msamaha.
[emoji16][emoji16] akapime tu STD'S