Leo imeniuma sana baada ya kujikuta usiku wa leo natembea na shemeji yangu

Leo imeniuma sana baada ya kujikuta usiku wa leo natembea na shemeji yangu

Baada ya mwezi, shemeji siku zangu zimepotea
Sasa 'Imeniuma kweli'/inakujaje halo Mwanga Wewe?
Mliarribisha chumbani, ukavua nguo mwenewe bila kulazishwa, Akavua Nguo mwemyewe bila Kulazimishwa....hukukumbuka kwamba ni Shemeji yako, Mnafiki Wewe??
 
Shemeji mwenyewe teketeke sijapata kuona....ananyama Kila Kona!!

IMG-20220103-WA0015.jpg
 
Mkuuu nimepitia Uzi na kuuchambua hata ambavyo hujaandika.


kufupisha story, wee ulipanga kumla 100%.

Kwa demu yeye, Kuokoa gharama za Lodge, misosi, et kisa Mbunye?? Tena wee sio Kaka yake, shemej hana Laana, ni Mara moja tuu ,siku ingine atakua anafikia hapo, Jamaa yake hajui ..



Katika Yote, Ni wewe kula Peku peku, Kwa kudhan ni shemeji !!!.....


Alafu unasema mwili yanteyante, minofu ni teketeke , Shukuru yuko kwenye Mbaazi.
 
Kwahiyo akirudi toka dar tena unampokelea bar kisha nyumbani
 
Wakuu heri ya mwaka mpya, naamini mmeanza mwaka mpya kwa utulivu kabisa, maake najua stress za karo tushaachana nazo tangu 2021 Dec.

Leo imeniuma sana baada ya kujikuta usiku wa leo natembea na shemeji yangu ( demu wa rafiki yangu) bila kudhamilia, ilikuwa hivi shemeji alinipigia simu jana kuwa yuko njiani anakuja Dom kutokea Dsm na hajawazia kulala logde koz anaamini shemeji yake nipo, hivyo alifikia kwangu.

Alifika majira ya saa mbili usiku nikampokelea bar moja hapa mjini tukachoma kuku tukala, baadaye tukaondoka kwenda kwangu nilimuuliza kama rafiki yangu ana taarifa akasema hapana.

Baada ya kufika home akapumzika kidogo then nikamcheshia maji ya kuoga nikampelekea bafuni, kaenda kuoga kisha kubadili nguo na kuvaa dela peke yake bila sidilia wala chupi kafikia kujimwaga kwenye sofa akajilaza kisha tukaendelea na story,

Shemeji yangu kajaliwa umbo hivyo aliweza kuonekana vizur kwenye dela alobadili, akili ilinihama kabisa sijui ni shetani gani alinikamata, sikumbuki hata tulianzaje, ila nachokumbuka nilimwambia dodoma kuna mbu sana nilimshauri tulale tu kwenye chumba changu, asilale chumba kingine, huyu shemeji nimemla usiku kucha , sikupata usingiz kutokana na mwili wake ulivyo yaani kila sehemu unayogusa ni teketeke,sijawahi ona, yaani kama nyama zinataka kudondoka, yenteyente! yaani kila tukitoka kuoga ukishika taulo kumkausha maji chuma kinasimama, katika maisha yangu sijawahi kutana na aina hii ya mwanamke, Uuwi mama yangu khaaa! Aisee unaweza kufa kabisa, Asubuhi nimemwandalia chai kanywa kisha kaondoka kwenda kwenye mambo yake wizarani na atarudi leo Dsm.
Hii chai hii..halafu hua najiuliza kila mleta mada humu JF anakula demu mkali mara anaumbo zuri..sura nzuri sijui chura..tunaomba muwe mnatuma hata picha..vinginevyo acheni kutunywesha chai ya siturungi.

#MaendeleoHayanaChama
 
[emoji16][emoji16] eti anadai hajui hata ilikuwaje kuwaje ila shemeji ni yente yente sijui teketeke yaani huyu nae muhuni tu na tabia za kihuni

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tushamshukia huyooo
Eti nyama kama zinataka kudondoka jaman jaman[emoji23][emoji23][emoji23]ili tumsupport ilkua haki yake kenge huyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tushamshukia huyooo
Eti nyama kama zinataka kudondoka jaman jaman[emoji23][emoji23][emoji23]ili tumsupport ilkua haki yake kenge huyo
[emoji16][emoji16] akapime tu STD'S
 
Back
Top Bottom