Leo imeniuma sana baada ya kujikuta usiku wa leo natembea na shemeji yangu

Hii chai hii..halafu hua najiuliza kila mleta mada humu JF anakula demu mkali mara anaumbo zuri..sura nzuri sijui chura..tunaomba muwe mnatuma hata picha..vinginevyo acheni kutunywesha chai ya siturungi.

#MaendeleoHayanaChama

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]
 
Mpigie simu Rafiki yako umweleze haya yote uliyotueleza, kisha umwombe msamaha..
 
Hakuna tuzo ya uzinzi... Halafu magonjwa ya zinaa yanatesa kinoma asikwambie mtu
 
Hadi kumpikia chai kampikia[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo kwanza January subir mpaka May atakua asharudi na mrejesho
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] ngoja tusubiri
 
Asubuhi ulimchemshia maji ya kuoga tena? 😳
 
Wewe sio rafiki kabisa mkuu hivi kweli demu wa rafiki yako anakuja kwako bila kumuambia rafiki yako na wewe unakubali??? hata kumstua mshikaji mkuu jamaa akigudua hata kama akiamua kukupiga shaba una stahili wewe ni snich mkubwa na nyoka ambaye unatakiwa upigwe na jiwe kichwani
 
Bratha hata ungekuwa wewe ungefanya, siku hiyo palikuwa na baridi kutokana na mvua iliyonyesha, na hata yeye pia alichangia kwa hiyo usinilaumu mimi tu.
 
Sasa kilichokuuma ni nini? Mbona hamna ishara ya kuumia mwili wala roho kwa hilo tendo
 
Waafrika wengi wanawazaga ngono tu 🤣 ingelikuwa na business inawazwa hivyo ingependeza
 

 
Nilitarajia nisome haya maneno

Nimekosa mimi, nimekosa mm, nimekosa sana
 
Huyo demu alipanga kuja kugongwa, na ukiona unakula mke wa mtu kiurahisi hivyo ujue hana maelewano na mme wake.
Ni kweli mara nyingi ukigombana na mkeo tegemea kitendo Cha kuchapiwa. Tena mkeo anatafuta mwanaume, na mara nyingi ni kwa style ya kujilengesha.

Na ikatokea mwanaume huyo akawa na upendo na akajua kum bembeleza, akamjali..kwishiney utalea watoto si wako
 
We umemla kwa kukusudia mkuuu hahahahaaa
 
kuna uzi wenu wazinzi unaitwa #kulaKimasihala peleka kule.
Ila hongera aisee 😋
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…