Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

Hayo maujanja siku hizi watu kibao wanayo hadi magroup yapo telegram ya bando la bure, ngoja na mimi nikaiupdate WireTurn yangu nianze kulamba asali japo inakauchachu kidogo.
Vip hii inakuwa na file zake maana nimejaribu imegoma bila data
 
Imekaa vyema.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Vera ginger. Download. Kupitia hatua number 1
 
Mkuu naomba nisaidie namm asee ndgu yangu mana nais nakufa na bei za bando hapa kwenye nchi ya wapoigaji
 
Hapo no 3 sioni pa kuweka hizo settings
 

Attachments

  • Screenshot_2022-09-01-05-10-52-791_com.aed.droidvpn.jpg
    48.7 KB · Views: 58
Kama device yako imecontain taarifu muhimu ama nyeti mno basi achana na VPN
 
Kama device yako imecontain taarifu muhimu ama nyeti mno basi achana na VPN
Kweli

Juzi tu tayari nimejiwa WhatsApp na namba ngeni (ya Kenya) yaani baada ya salamu swali lake moja kwa moja ni have you registered for free airtime? Nikavunga sijamjibu
 



Today ,monday 5th of september 2022 , a day spent well , 400+MB. is absolutely enough....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…