Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

Umetisha saaanaaaa
 
Mkuu shukran sn VPN iko vzr na ina speed sema shida yake ni moja tu ina connect zen baada ya mda mfupi inakata, unaweza kunisaidia maujanja ili isiwe inakata kata japo ikae hata nusu saa?
 
WIRE TUN kwangu mpaka Sasa haijapata mpinzani. Na uzuri wake haina kikomo cha matumizi muhimu tuu uwe Connected!!
 
WIRE TUN kwangu mpaka Sasa haijapata mpinzani. Na uzuri wake haina kikomo cha matumizi muhimu tuu uwe Connected!!
Unatumia mtandao gan....mm kwang tigo inagoma goma sana.
 
Kuna menu ya Ttcl kupata vifurushi nafuu nilipewa humu nimeisahau anayejua anipe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…