kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Simba itashinda lakini si kwa urahisi yanga B wamepewa maagizo wameahidiwa fedha gizani na mfadhili wao Gsm wana maagizo kutoka kwa waziri wa fedha na mjumbe wa baraza la wadhamini yanga A Simba ipo kwenye wakati mgumu wachezaji wawe makini wanakwenda kuhujumiwa kwa kutiwa majeraha ili kudhohofishwa kwenye mbio za ubingwa marefa nao tayari wameonwa kiupande wao,Uzuri mechi ya leo hatutaona magoli ya mkono wala offside wala penati za mchongo ni burudani tu Simba msimu anashinda kwa halali sana ndio maana goli moja moja tu!