EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
-
- #21
Huyo "Mai" awe SPONSOR[emoji41][emoji41][emoji41][emoji23][emoji23][emoji23] seriously naupokea mwaliko kwa mikono miwili nitakuja na mai wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2815]Huyo "Mai" awe SPONSORER [emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji28][emoji28][emoji28]
Nilikua loliondo Jana,alhamis nilikua vigwaza,nimekula nyama hadi meno yanauma,jumapili ijayo nitakua apo,nyama juu yako,bia juu yanguMkuu njoo leo ndio upime upi mnada mzuri[emoji238][emoji238][emoji238]
Poa Njoo jamaa BIA nina GLOSARINilikua loliondo Jana,alhamis nilikua vigwaza,nimekula nyama hadi meno yanauma,jumapili ijayo nitakua apo,nyama juu yako,bia juu yangu
Ipo sehemu gani nije?Poa Njoo jamaa BIA nina GLOSARI
Kibamba mkuu usipilizeHivi ni kibamba au kibaha ?
Dah Nakuja mkuuu, ila ni inauzwa mbichi ama imechomwa? Bei sh ngapi nifanye financial/cost analysis hapa 😂[emoji1306][emoji1756][emoji1313][emoji1313][emoji1313]View attachment 1816956
Mh,we ntakuwa nakufahamu,nimekaa hapo karibu na hicho kiwanja cha mpira karibu miaka 5...Ipo sehemu gani nije?
Nipo jirani pembeni ya uwanja kwa Charles Hilal
Ulipo nipo.Dah Nakuja mkuuu, ila ni inauzwa mbichi ama imechomwa? Bei sh ngapi nifanye financial/cost analysis hapa [emoji23]
Anayetaka kujoin twendeniii...
Safii mkuu twende zetuUlipo nipo.
Akikujibu naomba unitag mkuuBei elekezi zipoje mkuu?
Zote zipo mbichi na zakuchomaDah Nakuja mkuuu, ila ni inauzwa mbichi ama imechomwa? Bei sh ngapi nifanye financial/cost analysis hapa [emoji23]
Anayetaka kujoin twendeniii...