Leo Jumapili tarehe 13.06.2021 karibuni Mnadani Kibamba Chama

Uwe unasema mapema mimi ni mzee wa loiliondo kila jmosi
 
Mkuu huwa wanafungua kuanzia saa ngapi?Asubuhi huwa kunapatikana supu?Kisusio kipo?
Asubuhi saa3 mambo tayari kisusio kinapatikana asubuhi maana watu hunywa supu asubuhi. Ni kila jumapili na jumatano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…