aliekatakamba-wingatereza
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 624
- 4,583
Mkuu unasali kanisa ganikaribuni ndugu wakiristo tuambiane Leo kanisani kumetokea miujiza gani kutoka kwa waumini nawachungaji
hasa kwamadhehebu ya walokole wakatoliki sidhani kama wanahaya mambo ya miujiza
waumini wakilokole tililikeni
aposto nawasikiliza
naanza Mimi kanisani kwangu kunamuumini alitumia chumvi yaupako akamwaga kwamtesi wake(mganga)asubuhi kakuta nyumba ya mganga imeanguka😕😕😕😕
kwa mwamposaMkuu unasali kanisa gani
unacheka miujiza😕wee haya leta utani tu nayesuMnisamehe tu nimeshindwa kujizuia kucheka😂😂
Tuambie kwa kirefu alichosemanaanza Mimi kanisani kwangu kunamuumini alitumia chumvi yaupako akamwaga kwamtesi wake(mganga)asubuhi kakuta nyumba ya mganga imeanguka😕😕😕😕
Haya nabiiunacheka miujiza😕wee haya leta utani tu nayesu
Watusamehe tu kwa kweli.Mnisamehe tu nimeshindwa kujizuia kucheka😂😂
sema eimeeeeeeeeeinNimekqmanyaga mafuta ya upako,ile nafika Home,nikaikuta Range Rover yangu inanisubiri,
Nikatia gia na kuingia mitaani kupiga misele,
Mafuta yanalipa,tusidharau.
Kuna namna wakoloke wanapenda kututoa maanaWatusamehe tu kwa kweli.
hamna kirefu miujiza unasema kwakifupi kile kitu ambacho mungu amekutendea.umeelewa?Tuambie kwa kirefu alichosema
shakaraba sherebe eimenHaya nabii
mkuu hujaenda kanisani Leo?"MUNGU NAOMBA BUSARA NA HEKIMA"
Hadi Mimi 😃😃Mnisamehe tu nimeshindwa kujizuia kucheka😂😂
Mkuu sijaenda, nipo msibani kwa ndugai!mkuu hujaenda kanisani Leo?
ohoo poleni.sema gwajima amegombana naserikali angemfufuaMkuu sijaenda, nipo msibani kwa ndugai!