Leo kanisani kwako kumeshuhudiwa miujiza gani?

Leo kanisani kwako kumeshuhudiwa miujiza gani?

Hakuna miujiza upuuzi tu. Hili la amputees kupona hao wpte wanaotangaza mikutano ya injili kwenda kushuhudia miujiza wote wameufyata hawana jibu. Kama kweli mnatembea na Mungu wa kweli ombeni yale maombi ya Eliya dhidi ya manabii wa Baali ili ubishi uishe. Amputees warudishiwe viungo vyao. Eti jibu ni usimjaribu Mungu. Kwa hiyo Eliya naye alikuwa anamjaribu Mungu?
 
Back
Top Bottom