huu uzi wako hauna lengo la kutoa ushuhuda,,majibu ya watu humu hamna ushuhuda nilioona,naona ni kebehi tuu na mizaha.yesu wangu.mkuu hunaroho mtakatifu wewe😕😕tunashuhudia mema yayesu wewe unafoka?
Wewe kama ulikuwa unataka kupita na upepo wa pastor tony ungesema tuu na sio kuleta mizaha ya dini za wenzio.