Leo kanisani kwako kumeshuhudiwa miujiza gani?

Kanisani kwetu wote tumekuja na mitungi ya gesi, na imepuliziwa fyuuuu yote imejaa gesi full
 
Pamoja na kwamba mm ni muanglikana, lakini naamini katika utendaji miujiza maana hata biblia yenyewe imeweka wazi kuwa miujiza itaambatana na waaminio..
Musa, ibrahim, eliya, elisha, YESU (MUNGU PAMOJA NASI), mitume na manabii walitenda miujiza, MIMI NI NANI HADI NISIAMINI KATIKA MIUJIZA?
 
Huo ni muujiza ila wa kichawi
 
Sisi hemani kwetu nabii kajigeuza kuwa chura kikatokea kidimbwi akarukia humo akaanza koroma kroo kroo mpaka ibada inaisha nabii bado yuko chura,niliondoka ibadani kuwahi mitikasi zangu hapa ndio nataka nimpigie muumini mwenzangu aliyepo hemani kumuuliza kama bwana nabii kajirudisha kuwa nabii au bado chura
 
ndiomana nikasema weka muujiza wako au ulio sikia mkuu
 
😕😕😕😕😕hio kiboko mkuu
 
Namii amejaza mtungi wa gas kwa mdomo
 
mkuu kafunguwe Uzi wamisikiti tuache tunajadili mambo aliotutendea yesu mwana wa mariamu kupitia kwa sisi walokole
acha mambo yako ya kifara wewe,usijifanye umefungua uzi kwa lengo la ushuhuda,bali umefungua kwa lengo la kukejeli,,,eti hutaki kusikia habari gani??,acha ujinga wako.kama ni ushuhuda katoe kanisani kwako.
 
mkuu usichanganye mada kafunguwe Uzi wawaislamu. hapa tunajadili miujiza yetu walokole
acha mambo yako ya kifara wewe,usijifanye umefungua uzi kwa lengo la ushuhuda,bali umefungua kwa lengo la kukejeli,,,eti hutaki kusikia habari gani??,acha ujinga wako.kama ni ushuhuda katoe kanisani kwako.
 
acha mambo yako ya kifara wewe,usijifanye umefungua uzi kwa lengo la ushuhuda,bali umefungua kwa lengo la kukejeli,,,eti hutaki kusikia habari gani??,acha ujinga wako.kama ni ushuhuda katoe kanisani kwako.
yesu wangu.mkuu hunaroho mtakatifu wewe😕😕tunashuhudia mema yayesu wewe unafoka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…