Leo kanisani kwako kumeshuhudiwa miujiza gani?

yesu wangu.mkuu hunaroho mtakatifu wewe😕😕tunashuhudia mema yayesu wewe unafoka?
huu uzi wako hauna lengo la kutoa ushuhuda,,majibu ya watu humu hamna ushuhuda nilioona,naona ni kebehi tuu na mizaha.
Wewe kama ulikuwa unataka kupita na upepo wa pastor tony ungesema tuu na sio kuleta mizaha ya dini za wenzio.
 
mkuu toa ushuhuda basi acha mambo mengi unaharibu lengo la uzi
 
Mbona kashindwa kupiga picha? Mganga badoo ana nguvu.
 
Mwanzo nilidhani mleta mada n comedian, ila baada ya kupitia comments vzr ndo nikagundua n ID ya Mtumishi wa Mungu Bambo😎
 
Miujiza au mazingaombwe??!! Mbona hamuombei mtu aliyekatwa mguu au mkono arudushiwe kiungo chake? Acheni kuuhadaa ulimwengu na kujitajirisha kwa mapato ya aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…