Leo Karia una mtihani lakini Mambo mengine unajitakia

Sasa wewe unaona Yanga wana akili mtu kama Hersi kumkumbatia na kumruhusu Haji Manara aliyezuiwa asijihusishe na soka na TFF kwa miaka miwili ni mwanzo mbaya kwa uongozi wake na soka la Tanzania kwa ujumla ambalo nilidhani limevuka enzi za migogoro ya wasaka tonge na limeingia kwenye enzi ya professionalism! Siku ambayo Karia alihudhuria na mitusi alimwagiwa tena na msemaji wa Yanga! level yenu ya uelewa ni ndogo sana wana Yanga!
 
Anaye ihujumu yanga, na washirika wa yanga Kila mtu anamjua🤔
 
Pole mkuu, mgeni rasmi ni Naibu spika wa bunge LA tz Zungu, acha utopolo
 
Kwa .uonekano tu Karia ni mshamba na hajitambui hiyo nafasi ya rais wa tff aliipataje mara 2 mfululizo?

Ninamiss uongozi makini wa Leonard Tenga.
Karia ni mharo tu tukiweka ushabiji pembeni
Ungegombea huo Urais wewe kama Karia hafai.
 
Wewe angalau yanga ndo mwenye akili
 
Wallace Karia ni rais mjinga sana kuwahi kutokea pale TFF. Huwa hawezi kabisa kutofautisha kati ya uongozi wa taasisi kama TFF, na mahaba yake kwa simba na Coastal Union!

Haishangazi kuona anadharauliwa na kuto kuaminiwa na klabu kama Yanga..
Manara kaharibu,na Yanga kumleta siku ya tamasha wameharibu pia.

Kanuni zinatakiwa zifuatwe .

Ila Karia hafai kuwa pale , anapenda kutukuzwa halafu mtu wa kukaa na kisasi.

Kama unakumbuka nahisi ilikuwa kuwapa kombe Geita Gold kupanda daraja wakati wa kutoa kombe alifanya makusudi kumpa mkono Minziro
 
Wewe Uto, Uje sasa utuambie Wallace Karia na Rais wa CAF walikaa Jukwaa gani Benjamin Mkapa VIP A, VIP B, VIP C. Au Mzunguko.

Acha hisia mbaya wewe Punguani, huo Utopolo mbona unakufanya uwe kiumbe wa hovyo hovyo kiasi hicho..!
 
Hoja yangu na yako hazina uhusiano.
Mimi sifuatliagi kuwa hata Karia anapendelea timu gani naongelea uwezo wake kuiongoza taasisi hiyo
Kwani Malinzi ndo alikua na uwezo wa kuiongoza taasisi hii??
 
Tena hakuna mtu alikua mbaya na mwenye roho mbaya Kama Malinzi ,Yule Bora afiege huko huko ni mbwaa yule
Na atafia huko kwa manyapara, wanamgeuzana tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa wewe unaona Yanga wana akili mtu kama Hersi kumkumbatia Haji Manara aliyezuiwa asijihusishe na soka ni mwanzo mbaya kwa uongozi wake!
Kuna mahali nimemwongelea Hersi au Manara? Mimi Nilikuwa nasubiri Karia ajitokeze kumsimdikiza Motsepe.
 
Kama huwezi kuelewa nllichoandika Acha Wenye akili wajadili. Kiwango chako si cha kujadiliana na Wenye akili.
 
Bila bila sijawahi kukuelewa zaidi ya kuona unavyopenda kulazimisha vihoja vyako vieleweke..
Kwani unadhani huwa naandika ili wewe unielewe? Hakuna mahali popote nilipokutag au kuita yeyote Kwa jina aje achangie. Ungeweza kuona tu ukapitiliza kama hukuelewa mada. Hii haikuwa mada ya wasioelewa. Kina Dabil, Cocastic na Tate walioelewa wamechangia bila matusi wala kejeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…