Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wewe unaona Yanga wana akili mtu kama Hersi kumkumbatia na kumruhusu Haji Manara aliyezuiwa asijihusishe na soka na TFF kwa miaka miwili ni mwanzo mbaya kwa uongozi wake na soka la Tanzania kwa ujumla ambalo nilidhani limevuka enzi za migogoro ya wasaka tonge na limeingia kwenye enzi ya professionalism! Siku ambayo Karia alihudhuria na mitusi alimwagiwa tena na msemaji wa Yanga! level yenu ya uelewa ni ndogo sana wana Yanga!Kwa bahati nzuri Mungu alinijalia kuipenda soka bila mahaba ya timu za Kariakoo. Utashangaa nimewezaje lakini kwangu halikuwa Jambo kubwa kuamua zaidi ya kuupenda mpira wa miguu na kuufuatlia katika Nyanja nyingine ya Uamzi.
Leo ni Tamasha kubwa la timu ya Simba (S. S. C DAY) linaloazimishwa August 8 Kila mwaka Tangu mwaka 2009. Ni Tamasha kubwa linalovuta hisia si Kwa wapenzi na mashabiki wa Simba pekee bali wa vilabu vyote ndani na nje ya Tanzania Kwa jinsi linavyovuta hisia za Soka.
Tarehe 6/08/2022 siku mbili tu zilizopita Yanga walikuwa na Tamasha kubwa kama hili pale pale Uwanja wa Mkapa Temeke Dar es salaam. Mgeni rasmi katika tukio Lao alikuwa Kinana Makamu mwenyekiti wa CCM Taifa. Mbali ya ukubwa wa Tamasha lile na umuhimu wa timu hiyo kama ilivyo Kwa Simba kuhusu soka la nchi hii, Viongozi wote wa juu wa TFF hususan Karia Kwa upekee kabisa hawakufika, hawakuhudhuria.
Leo Simba Wana tukio kubwa na naambiwa mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Patrice Motsepe, Rais wa CAF ambaye yuko njiani kuelekea Arusha kuhudhiria Mkutano wa Mwaka wa CAF unaoanza Jumatano 10/08/2022.
Kuwepo Kwa Motsepe kwenye Tamasha Hilo kunamlazimisha Kwa njia moja au nyingine Karia naye kuwa karibu na bosi wake. Hii itajenga picha gani hasa Kwa mashabiki watafuta sababu? Karia ni Simba ndo maana hakuhudhuria Tamasha la Yanga.
Ukiwa kiongozi huwezi kukosa upande, lakini mara nyingi Karia umekuwa ukichanga vibaya karata zako na naamini ipo siku utalamba Galasa.
Anaye ihujumu yanga, na washirika wa yanga Kila mtu anamjua🤔Kwa bahati nzuri Mungu alinijalia kuipenda soka bila mahaba ya timu za Kariakoo. Utashangaa nimewezaje lakini kwangu halikuwa Jambo kubwa kuamua zaidi ya kuupenda mpira wa miguu na kuufuatlia katika Nyanja nyingine ya Uamzi.
Leo ni Tamasha kubwa la timu ya Simba (S. S. C DAY) linaloazimishwa August 8 Kila mwaka Tangu mwaka 2009. Ni Tamasha kubwa linalovuta hisia si Kwa wapenzi na mashabiki wa Simba pekee bali wa vilabu vyote ndani na nje ya Tanzania Kwa jinsi linavyovuta hisia za Soka.
Tarehe 6/08/2022 siku mbili tu zilizopita Yanga walikuwa na Tamasha kubwa kama hili pale pale Uwanja wa Mkapa Temeke Dar es salaam. Mgeni rasmi katika tukio Lao alikuwa Kinana Makamu mwenyekiti wa CCM Taifa. Mbali ya ukubwa wa Tamasha lile na umuhimu wa timu hiyo kama ilivyo Kwa Simba kuhusu soka la nchi hii, Viongozi wote wa juu wa TFF hususan Karia Kwa upekee kabisa hawakufika, hawakuhudhuria.
Leo Simba Wana tukio kubwa na naambiwa mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Patrice Motsepe, Rais wa CAF ambaye yuko njiani kuelekea Arusha kuhudhiria Mkutano wa Mwaka wa CAF unaoanza Jumatano 10/08/2022.
Kuwepo Kwa Motsepe kwenye Tamasha Hilo kunamlazimisha Kwa njia moja au nyingine Karia naye kuwa karibu na bosi wake. Hii itajenga picha gani hasa Kwa mashabiki watafuta sababu? Karia ni Simba ndo maana hakuhudhuria Tamasha la Yanga.
Ukiwa kiongozi huwezi kukosa upande, lakini mara nyingi Karia umekuwa ukichanga vibaya karata zako na naamini ipo siku utalamba Galasa.
Ungegombea huo Urais wewe kama Karia hafai.Kwa .uonekano tu Karia ni mshamba na hajitambui hiyo nafasi ya rais wa tff aliipataje mara 2 mfululizo?
Ninamiss uongozi makini wa Leonard Tenga.
Karia ni mharo tu tukiweka ushabiji pembeni
Mimi sifai zaidiUngegombea huo Urais wewe kama Karia hafai.
Wewe angalau yanga ndo mwenye akiliLeodgar Chilla Tenga was
the best president! Wakati wa uongozi wake, hakukuwa na huu ujinga. Alijitahidi sana kuwekeza nguvu zake zote kwenye uongozi, na pia kuiimarisha TFF. Na kamwe hakujishughulisha kabisa na siasa za usimba na uyanga!
Malalamiko yalianza pale tu watu ambao hawakuwahi kuwa wachezaji wa mpira, kujipenyeza kwenye uongozi! Mfano Jamal Malinzi, na huyu Wallace Karia!
I wish wakati mwingine wenye mpira wao watachukua madaraka, ili hawa wanasiasa warudi kwenye siasa za kukijenga chama chao cha ccm.
Tumlete MalinziKaria ni mjinga tu, apeleke usomali wake uko Kismayo tumbo kubwa ufisadi tu
Alikuja kwa sababu ya timu yake ya Tanga.Mbona arusha.alikuja
Manara kaharibu,na Yanga kumleta siku ya tamasha wameharibu pia.Wallace Karia ni rais mjinga sana kuwahi kutokea pale TFF. Huwa hawezi kabisa kutofautisha kati ya uongozi wa taasisi kama TFF, na mahaba yake kwa simba na Coastal Union!
Haishangazi kuona anadharauliwa na kuto kuaminiwa na klabu kama Yanga..
Wewe Uto, Uje sasa utuambie Wallace Karia na Rais wa CAF walikaa Jukwaa gani Benjamin Mkapa VIP A, VIP B, VIP C. Au Mzunguko.Kwa bahati nzuri Mungu alinijalia kuipenda soka bila mahaba ya timu za Kariakoo. Utashangaa nimewezaje lakini kwangu halikuwa Jambo kubwa kuamua zaidi ya kuupenda mpira wa miguu na kuufuatlia katika Nyanja nyingine ya Uamzi.
Leo ni Tamasha kubwa la timu ya Simba (S. S. C DAY) linaloazimishwa August 8 Kila mwaka Tangu mwaka 2009. Ni Tamasha kubwa linalovuta hisia si Kwa wapenzi na mashabiki wa Simba pekee bali wa vilabu vyote ndani na nje ya Tanzania Kwa jinsi linavyovuta hisia za Soka.
Tarehe 6/08/2022 siku mbili tu zilizopita Yanga walikuwa na Tamasha kubwa kama hili pale pale Uwanja wa Mkapa Temeke Dar es salaam. Mgeni rasmi katika tukio Lao alikuwa Kinana Makamu mwenyekiti wa CCM Taifa. Mbali ya ukubwa wa Tamasha lile na umuhimu wa timu hiyo kama ilivyo Kwa Simba kuhusu soka la nchi hii, Viongozi wote wa juu wa TFF hususan Karia Kwa upekee kabisa hawakufika, hawakuhudhuria.
Leo Simba Wana tukio kubwa na naambiwa mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Patrice Motsepe, Rais wa CAF ambaye yuko njiani kuelekea Arusha kuhudhiria Mkutano wa Mwaka wa CAF unaoanza Jumatano 10/08/2022.
Kuwepo Kwa Motsepe kwenye Tamasha Hilo kunamlazimisha Kwa njia moja au nyingine Karia naye kuwa karibu na bosi wake. Hii itajenga picha gani hasa Kwa mashabiki watafuta sababu? Karia ni Simba ndo maana hakuhudhuria Tamasha la Yanga.
Ukiwa kiongozi huwezi kukosa upande, lakini mara nyingi Karia umekuwa ukichanga vibaya karata zako na naamini ipo siku utalamba Galasa.
Kwani Malinzi ndo alikua na uwezo wa kuiongoza taasisi hii??Hoja yangu na yako hazina uhusiano.
Mimi sifuatliagi kuwa hata Karia anapendelea timu gani naongelea uwezo wake kuiongoza taasisi hiyo
Na atafia huko kwa manyapara, wanamgeuzana tyuuh.Tena hakuna mtu alikua mbaya na mwenye roho mbaya Kama Malinzi ,Yule Bora afiege huko huko ni mbwaa yule
Kuna mahali nimemwongelea Hersi au Manara? Mimi Nilikuwa nasubiri Karia ajitokeze kumsimdikiza Motsepe.Sasa wewe unaona Yanga wana akili mtu kama Hersi kumkumbatia Haji Manara aliyezuiwa asijihusishe na soka ni mwanzo mbaya kwa uongozi wake!
Kwani unadhani huwa naandika ili wewe unielewe? Hakuna mahali popote nilipokutag au kuita yeyote Kwa jina aje achangie. Ungeweza kuona tu ukapitiliza kama hukuelewa mada. Hii haikuwa mada ya wasioelewa. Kina Dabil, Cocastic na Tate walioelewa wamechangia bila matusi wala kejeli.Bila bila sijawahi kukuelewa zaidi ya kuona unavyopenda kulazimisha vihoja vyako vieleweke..