Ime nibidi niweke channel ya mielekaHali sio nzuri. Ni mwendo wa point 1.
City ndioHivi hawa bado wapo kwenye kufukuxia kombe
Mapema tu 😂🤣Chelkenge Mbaga Jr kazeni msi gawe mali yako ya nyuma, viva Chelsea draw or win ni 🔥 🔥
Assanal hamchelewi kupigwa game zote za ligi zilizobaki 😂Hii game nili itabiri kwenye uzi wa arsenal, Mbaga Jr ata niheshimu sasa hivi maana akisema no mi namtia mpaka aseme yess.View attachment 3525367
Tumenyimwa tuta aiseeTwende kwanza tukaangalie Morocco vs Tanzania
🤔🤔🤔🤔.Assanal hamchelewi kupigwa game zote za ligi zilizobaki 😂
sawa chelkenge 😂Assanal hamchelewi kupigwa game zote za ligi zilizobaki 😂