nguvu ya buku
Senior Member
- Jul 15, 2025
- 168
- 549
Hapo zamani za kale, Wahehe na Wabena waliandaa mashindano ya unywaji wa pombe kali.
Wiki moja kabla ya mashindano, Wabena waliamua kutuma wajumbe wao kwenda kwa Wahehe kuthibitisha kama kila kitu kiko sawa.
Kama zawadi ya awali, walileta lita 5 za pombe yao iliyotengenezwa na wataalam kwa usiri mkubwa, kwa matumaini kuwa Wahehe wakiionja hata kidogo, washindwe kutembea.
Mmoja wa Wahehe, akauliza kwa upole,
“Naweza kuonja kidogo?”
Wabena wakakubali huku wakitabasamu kwa kujiamini.
Lakini badala ya kuonja, yule Mhehe akaweka kigaloni kwenye mdomo akaanza kukikata kama bomba la mafuta bila kupumzika, ndani ya muda mchache akazimaliza lita zote 5 kama maji ya dafu
akajifuta mdomo kwa kiwiko, akakoroma kidogo kisha akasema kwa sauti yenye mkwaruzo
“Mhh… siyo mbaya! Sasa pombe ya mashindano yenyewe iko wapi ?”
Wabena wakabaki midomo wazi kama wameona mzimu, kwao hata mlevi hodari hawezi kumaliza lita tatu bila kuanguka
Wakamwuliza kwa mshangao:
“Wewe ni mmoja wa washindani?”
Yule Mhehe akajibu:
“Mimi sikuweza hata kufuzu, nilifeli kwenye majaribio!”
Siku hiyo hiyo mashindano yakafutwa.

Hapo zamani za kale, Wachaga na Wapare waliandaa mashindano ya unywaji wa pombe kali.
Wiki moja kabla ya mashindano, Wapare waliamua kutuma wajumbe wao kwenda kwa Wachaga kuthibitisha kama kila kitu kiko sawa.
Kama zawadi ya awali, walileta lita 5 za pombe yao iliyotengenezwa na wataalam kwa usiri mkubwa, kwa matumaini kuwa Wachaga wakiionja hata kidogo, washindwe kutembea.
Mmoja wa Wachaga, akauliza kwa upole,
“Naweza kuonja kidogo?”
Wapare wakakubali huku wakitabasamu kwa kujiamini.
Lakini badala ya kuonja, yule Mchaga akaweka kigaloni kwenye mdomo akaanza kukikata kama bomba la mafuta bila kupumzika, ndani ya muda mchache akazimaliza lita zote 5 kama maji ya dafu
akajifuta mdomo kwa kiwiko, akakoroma kidogo kisha akasema kwa sauti yenye mkwaruzo
“Mhh… siyo mbaya! Sasa pombe ya mashindano yenyewe iko wapi ?”
Wapare wakabaki midomo wazi kama wameona mzimu, kwao hata mlevi hodari hawezi kumaliza lita tatu bila kuanguka
Wakamwuliza kwa mshangao:
“Wewe ni mmoja wa washindani?”
Yule Mchaga akajibu:

Hapo zamani za kale, Wanyaturu na Wanyiramba waliandaa mashindano ya unywaji wa pombe kali.
Wiki moja kabla ya mashindano, Wanyiramba waliamua kutuma wajumbe wao kwenda kwa Wanyaturu kuthibitisha kama kila kitu kiko sawa.
Kama zawadi ya awali, walileta lita 5 za pombe yao iliyotengenezwa na wataalam kwa usiri mkubwa, kwa matumaini kuwa Wanyaturu wakiionja hata kidogo, washindwe kutembea.
Mmoja wa Wanyaturu, akauliza kwa upole,
“Naweza kuonja kidogo?”
Wanyiramba wakakubali huku wakitabasamu kwa kujiamini.
Lakini badala ya kuonja, yule Mnyaturu akaweka kigaloni kwenye mdomo akaanza kukikata kama bomba la mafuta bila kupumzika, ndani ya muda mchache akazimaliza lita zote 5 kama maji ya dafu
akajifuta mdomo kwa kiwiko, akakoroma kidogo kisha akasema kwa sauti yenye mkwaruzo
“Mhh… siyo mbaya! Sasa pombe ya mashindano yenyewe iko wapi ?”
Wanyiramba wakabaki midomo wazi kama wameona mzimu, kwao hata mlevi hodari hawezi kumaliza lita tatu bila kuanguka
Wakamwuliza kwa mshangao:
“Wewe ni mmoja wa washindani?”
Yule Mnyaturu akajibu: