Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Proudly to be a Catholic Believer.Huwa napendezwa na ukweli ulio uchi/usiopindishwa
Na kwa mwendo huo hataweza pokea kwa ufasaha kile anachohitaji fahamishwa!!..Akikutana na watu ambao hawapendi usumbufu watakachomwambia ni "SAWA" kumbe anapotea!!..Anaongea kwa ushabiki huku hajui kitu
Wataka kufaham nn zaid?Tiririkeni zaidi wakuu.
Ukisubr mafundisho ya kimanjsani kwa padr hutalijua kanisa kamwe..Na kwa mwendo huo hataweza pokea kwa ufasaha kile anachohitaji fahamishwa!!..Akikutana na watu ambao hawapendi usumbufu watakachomwambia ni "SAWA" kumbe anapotea!!..
Na hilo ndilo wanalokosea watu!, wanazani Padre siku zote ndio mtu wa kuwapa taarifa!...Ukisubr mafundisho ya kimanjsani kwa padr hutalijua kanisa kamwe..
Bnafsi baba mkubwa ni Jesuits na paroko wa sehem fulan Tz, kanifunza mengi mno juu ya RC pia babu angu alikua .alezi seminar kaaacha vitab vingi vya kizaman tunasoma
Ili uweze yatetea hayo mazuri jifunze kujua na kuyakubali mabaya yake!!.. Kumuambia mtu hii ni Rangi Nyeusi tambua na Nyeupe!..Sijui nini sasa hakuna kitu nisichojua ila stori za zamani ambazo zimepita sitaki kuona zinashadadiwa sana utafikiri hili kanisa halina mazuri lililofanya huko nyuma
Padre gani huyo hataki watu wafungue biblia wakati wa masomo acha ujinga bana hili siwezi kukubaliana na wewe nimeishi maeneo mbalimbali ya nchi yetu na kuhudhuria ibada nikiwa na biblia yangu na sijawahi kuona padre akisema msitumie bibliaIli uweze yatetea hayo mazuri jifunze kujua na kuyakubali mabaya yake!!.. Kumuambia mtu hii ni Rangi Nyeusi tambua na Nyeupe!..
Kuna padre wa jimbo fulani hadi leo hataki waumini wafungue biblia wakati wa somo!, lakini ukifatilia huo ni ustaarabu wa miaka hiyo ya zamani sana!
Upo mkoa/wilaya gani!?.. Unahisi nikimtaja direct hapa nitakuwa nimefanya kitu sahihi?Padre gani huyo hataki watu wafungue biblia wakati wa masomo acha ujinga bana hili siwezi kukubaliana na wewe nimeishi maeneo mbalimbali ya nchi yetu na kuhudhuria ibada nikiwa na biblia yangu na sijawahi kuona padre akisema msitumie biblia
Hebu taja jimbo na pandre husika hatua zichukuliwe la sivyo umeamua kujifanya mkatoliki tu
Majina ya mapadre yako wazi kama unaushahidi wa yeye kuwakataza waumini kufungua biblia mtaje maana haya siyo mafundisho ya kanisa katoliki kuwa eti waumini hawaruhusiwi kufungua biblia kanisani wakati wa masomo
Ushahidi upi wakati kuna waumini zaidi ya 400 wanasali na wamemzoea akiongoza yeye misa hawafungui!, akiongoza mwingine wanafungua kama kawaida!..Majina ya mapadre yako wazi kama unaushahidi wa yeye kuwakataza waumini kufungua biblia mtaje maana haya siyo mafundisho ya kanisa katoliki kuwa eti waumini hawaruhusiwi kufungua biblia kanisani wakati wa masomo
Kumbe naongea na mtu asieelewa kitu we umesema wamekatazwa na huyo padreUshahidi upi wakati kuna waumini zaidi ya 400 wanasali na wamemzoea akiongoza yeye misa hawafungui!, akiongoza mwingine wanafungua kama kawaida!..
Wewe ni mgeni na taratibu za Kanisa hilo amini!!..
Kanisa lina taratibu ambazo ni lazima kuzifata na kuna baadhi ya taratibu Padre/Paroko anaweza kuamua kuzifanya kwa maono yake!.
Padre kukataza watu wasisome biblia zao wakati wa kusoma Somo sio kosa!, ni maono yake yamemtuma hivyo!..Hataweza shtakiwa sehemu akawajibishwa lakini anaweza kuulizwa na akatoa sababu zikakubalika!..
Wewe ni mtoto sana kwenye taratibu na ishu za Kanisa!..
Hebu nikuulize Charismatic ni halali au sio halali Kanisa Katoliki!?..
SawaKumbe naongea na mtu asieelewa kitu we umesema wamekatazwa na huyo padre
Swala la mtu kuingia na biblia au kutoingia nayo hilo linabaki kwa mtu binafsi sio eti uniambie padre kawakataza waumini
Mimi ni mkatoliki wa kiwango cha juu mkuu na ndio maana nakuambia haya
Hili ni moja kati ya mashirika mengi ndani ya kanisa katolikiUshahidi upi wakati kuna waumini zaidi ya 400 wanasali na wamemzoea akiongoza yeye misa hawafungui!, akiongoza mwingine wanafungua kama kawaida!..
Wewe ni mgeni na taratibu za Kanisa hilo amini!!..
Kanisa lina taratibu ambazo ni lazima kuzifata na kuna baadhi ya taratibu Padre/Paroko anaweza kuamua kuzifanya kwa maono yake!.
Padre kukataza watu wasisome biblia zao wakati wa kusoma Somo sio kosa!, ni maono yake yamemtuma hivyo!..Hataweza shtakiwa sehemu akawajibishwa lakini anaweza kuulizwa na akatoa sababu zikakubalika!..
Wewe ni mtoto sana kwenye taratibu na ishu za Kanisa!..
Hebu nikuulize Charismatic ni halali au sio halali Kanisa Katoliki!?..
Watashindana lakini hawata,SHINDA,,,[emoji28]Dola la Papa
Dola la Papa lilikuwa nchi huru chini ya himaya ya Papa kuanzia miaka ya 700 hadi 1870.
Chanzo chake ni uvamizi wa makabila ya Wagermanik uliobomoa Dola la Roma upande wa magharibi wa Bahari ya Kati. Wenyeji, wengi wao wakiwa Wakristo Wakatoliki, walimkimbilia Papa kama kiongozi wao atakayeweza kuwasaidia katika matatizo.
Baadaye Wafaranki walikubali kumuachia Papa mamlaka ya kisiasa juu ya maeneo mbalimbali nje ya Roma. Polepole maeneo yaliongezwa hata kufikia mikoa 3 na nusu ya Italia ya leo: Lazio, Umbria, Marche na sehemu ya Emilia-Romagna.
Dola lilikoma tarehe 20 Septemba 1870, jeshi la Italia lilipoteka mkoa na mji wa Roma, isipokuwa mtaa wa Vatikano.
Kwa mapatano ya tarehe 11 Februari 1929, badala yake ilianzishwa Mji wa Vatikani, nchi ndogo kuliko zote duniani (kilometa mraba 0.44, lakini huru ili mamlaka ya kiroho ya Papa isiingiliwe na watawala wa dunia kama ilivyotokea zamani.
Gusa hapa uone linavyomiliki dunia Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForumsDola la Papa

Gusa hapa uone linavyomiliki dunia Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForumsHapana mkuu historia ya dola ya Papa haijaweza survive mpaka sasa kiurahisi namna hiyo!.. Zile crusade wars zote zilikuwa kwa maslahi ya ukristo na kusimika nguvu ya Papa. Kuuwawa kwa Galileo kulikuwa ni kupingana na msimamo wa kanisa!.. Watu kuuwawa kwa ajiri ya kukutwa wana miliki biblia ilikuwa ni kuhakikisha nguvu ya kanisa inabaki. Historia ya Papa ni kubwa sana. Kama mkatoliki unaweza kwenda duka la kanisani omba kakitabu fulani kadogo kanaitwa "PAPA NI NANI?" au "MJUE PAPA".. (nimesahau title).
Katoliki tumepitia mengi mpaka leo hii unaona tunaheshimika na Papa wetu!..Amina.
Gusa hapa uone linavyomiliki dunia Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForumsKwa maelezo haya basi Utawala wa Papa ulianza kirahisi sana!!..
Gusa hapa uone linavyomiliki dunia Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForumsNiko hapa nawasubiri wakuu