Leo katika historia na Dola la Papa

Leo katika historia na Dola la Papa

wewe ni mupya humu, fanya kautafiti kupitia thread then rudi na point muhimu..
Unashida wewe kuonnimejiunga sikwamba ndo mara ya kwanza uku sawaaaaaaa???
wengine wanasoma wnaacha
 
Unashida wewe kuonnimejiunga sikwamba ndo mara ya kwanza uku sawaaaaaaa???
wengine wanasoma wnaacha
Kama wanasoma wanaacha ndio na mie nione ujinga niuache bila sahihihisha!?..
Sina shida kuona umejiunga karibuni, lakini nimekupa wazo ili kubadiri fikra zako pitia maandiko yaliyokuwa already explained in here then rudi discuss meaning utakuwa na new thinking!..
stupidity is not a crime bro!..
 
Kama wanasoma wanaacha ndio na mie nione ujinga niuache bila sahihihisha!?..
Sina shida kuona umejiunga karibuni, lakini nimekupa wazo ili kubadiri fikra zako pitia maandiko yaliyokuwa already explained in here then rudi discuss meaning utakuwa na new thinking!..
stupidity Hii imetokea wap
 
Hapana mkuu historia ya dola ya Papa haijaweza survive mpaka sasa kiurahisi namna hiyo!.. Zile crusade wars zote zilikuwa kwa maslahi ya ukristo na kusimika nguvu ya Papa. Kuuwawa kwa Galileo kulikuwa ni kupingana na msimamo wa kanisa!.. Watu kuuwawa kwa ajiri ya kukutwa wana miliki biblia ilikuwa ni kuhakikisha nguvu ya kanisa inabaki. Historia ya Papa ni kubwa sana. Kama mkatoliki unaweza kwenda duka la kanisani omba kakitabu fulani kadogo kanaitwa "PAPA NI NANI?" au "MJUE PAPA".. (nimesahau title).
Katoliki tumepitia mengi mpaka leo hii unaona tunaheshimika na Papa wetu!..Amina.
Kumbe hii kata kata vchwa mwanzilishi si Muhammad.
 
Ushahidi upi wakati kuna waumini zaidi ya 400 wanasali na wamemzoea akiongoza yeye misa hawafungui!, akiongoza mwingine wanafungua kama kawaida!..
Wewe ni mgeni na taratibu za Kanisa hilo amini!!..
Kanisa lina taratibu ambazo ni lazima kuzifata na kuna baadhi ya taratibu Padre/Paroko anaweza kuamua kuzifanya kwa maono yake!.
Padre kukataza watu wasisome biblia zao wakati wa kusoma Somo sio kosa!, ni maono yake yamemtuma hivyo!..Hataweza shtakiwa sehemu akawajibishwa lakini anaweza kuulizwa na akatoa sababu zikakubalika!..
Wewe ni mtoto sana kwenye taratibu na ishu za Kanisa!..
Hebu nikuulize Charismatic ni halali au sio halali Kanisa Katoliki!?..
Na mimi ningekuwa padre ningezuia watu kufungua biblia maana tunaenda kanisani kusali na kufundishwa neno(kusikia neno)! Ni sawa na darasani mwalimu yuko busy kufundisha mwanafunzi anakazana kuperuzi kitini chake apa hawezi concentrate kwenye kile anachofundishwa.

Hivi kwenye masinagogi ya wayahudi kila mtu alikuwa anaingia na Chuo chake au ni yule Kuhani/ au yeyote aliyeteuliwa ndo alikuwa anasoma tu na wengine kazi yao ni kusikiliza!
Ebu na waislamu watusaidie na wao kila mtu anaenda na msaafu msikitini kila dakika shekh anawambia wafungue misaafu? Na je kwa kutoenda na misaafu misikitini inawafanya wasijue neno?
Mie nadhani ule utaratibu wa kanisa wa awali ulikuwa bora zaidi maana sioni sehemu yoyote ambayo waumini watapata mda wa kufungua hizo biblia maana kila kitu kimeshapangwa kwenye kalenda ya kanisa unaenda church ukijua kesho soma la 1 na 2 ni ili na injili ni hii! Sa kukazana kila mtu asome inamaana anayesema haaminiki kwamba labda atasoma kinyume na je hasiyejua kusoma na yeye abebe biblia kama pambo!
Ni maoni yangu tu lkn.
NB: Mwanafunzi mzuri ni yule anayesikiliza na kutuliza akili wakati wa kufundishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asilimia kubwa ya waumini hawaijui Quran na Biblia vizuri ndio maana ata wanajichanganya viongozi wao wa dini wanapowachanganyia na Siasa..in short asiejua kitabu cha Mungu vizuri ni mtumwa wa kwenda kwenye jengo,anapaswa kusoma mpaka amzidi kiongozi wake
 
Back
Top Bottom