Leo katika historia na Dola la Papa

wewe ni mupya humu, fanya kautafiti kupitia thread then rudi na point muhimu..
Unashida wewe kuonnimejiunga sikwamba ndo mara ya kwanza uku sawaaaaaaa???
wengine wanasoma wnaacha
 
Unashida wewe kuonnimejiunga sikwamba ndo mara ya kwanza uku sawaaaaaaa???
wengine wanasoma wnaacha
Kama wanasoma wanaacha ndio na mie nione ujinga niuache bila sahihihisha!?..
Sina shida kuona umejiunga karibuni, lakini nimekupa wazo ili kubadiri fikra zako pitia maandiko yaliyokuwa already explained in here then rudi discuss meaning utakuwa na new thinking!..
stupidity is not a crime bro!..
 
 
Kumbe hii kata kata vchwa mwanzilishi si Muhammad.
 
Na mimi ningekuwa padre ningezuia watu kufungua biblia maana tunaenda kanisani kusali na kufundishwa neno(kusikia neno)! Ni sawa na darasani mwalimu yuko busy kufundisha mwanafunzi anakazana kuperuzi kitini chake apa hawezi concentrate kwenye kile anachofundishwa.

Hivi kwenye masinagogi ya wayahudi kila mtu alikuwa anaingia na Chuo chake au ni yule Kuhani/ au yeyote aliyeteuliwa ndo alikuwa anasoma tu na wengine kazi yao ni kusikiliza!
Ebu na waislamu watusaidie na wao kila mtu anaenda na msaafu msikitini kila dakika shekh anawambia wafungue misaafu? Na je kwa kutoenda na misaafu misikitini inawafanya wasijue neno?
Mie nadhani ule utaratibu wa kanisa wa awali ulikuwa bora zaidi maana sioni sehemu yoyote ambayo waumini watapata mda wa kufungua hizo biblia maana kila kitu kimeshapangwa kwenye kalenda ya kanisa unaenda church ukijua kesho soma la 1 na 2 ni ili na injili ni hii! Sa kukazana kila mtu asome inamaana anayesema haaminiki kwamba labda atasoma kinyume na je hasiyejua kusoma na yeye abebe biblia kama pambo!
Ni maoni yangu tu lkn.
NB: Mwanafunzi mzuri ni yule anayesikiliza na kutuliza akili wakati wa kufundishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asilimia kubwa ya waumini hawaijui Quran na Biblia vizuri ndio maana ata wanajichanganya viongozi wao wa dini wanapowachanganyia na Siasa..in short asiejua kitabu cha Mungu vizuri ni mtumwa wa kwenda kwenye jengo,anapaswa kusoma mpaka amzidi kiongozi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…