Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli..... Huna kumbukumbu za KutoshaShukrani sana Mkuu kwa kuweka kumbukumbu sawa.. Pia kuna hii [emoji116]
NDIYO BASI TENA: Yanga itasota kuvunja rekodi hizi za Simba
Credit: Mkuu Freeland
Makuta hebu nieleze hapo, ilikuaje yaani. Tupe story!
Ni kwamba timu ya Simba Sports Club imefungwa goli moja kwa bila na timu ya Manispaa ya Kinondoni katika mchezo wa kirafiki uliofanyika katika uwanja wa chuo cha biblia mjini Mjini Morogoro jioni ya jana na washabiki wa Simba wakaleta zogo,yaani hawakuamini kilichotokea kwa kua walishazoea kushinda katika mechi za majaribio walizocheza lakini leo imekuwa tofauti.